Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Msajili wa Vyama vya siasa hana mamlaka ya kuingilia maamuzi ya vyma lakini chams cha siasa kinaweza kuingilia mambo ya ndani ya chama kingine! Only in tz. Big up sana Longido water supply authority(LOWASA)
View attachment 410108

Ukawa ...na Cuf ni part ya Ukawa ...wameona bundi ameingia kuharibu umoja lazima kusaidiana.
Kwa wasio kumbuka..chadema katika chaguzi 5 zilizo fanyika badi tatu 3 hawakuwahi kuweka mgombea..zote walimsapoti Lipumba na cuf. Cdm walianza kumweka slaa na lowasa..
Hivyo ushirikiano wao haujaanza leo au jana. Dio kwamba hakuna misuguano lakini wana elewana na wakikaa wapo pamoja.
Sasa lipumba anajua chadema ilimsapoti mara 3 ...lakini sasa hivi Baada ya kula hela amenunuliwa anaona cdm hawafai..
Atatoka tu hata kwa umma waote wa ukawa kushiriki adituletee nuksi
 
Hamjitambui
 
Kosa la Mbowe nini hasa hapo ??!!. Labda mtu ambaye dola inam favour ataona kama tuko sawa.

Na ukweli ni kuwa hao unaowaita mabwana ni mabwana kweli hata magogoni wanajua
 
Mnaenda Uingereza kulalamika kua Tanzania wanabana democrasia hawataki kurusha bunge live, wakati wao wenyewe mnaowalalamikia hawarushi bunge live. Huo ndo umburula. Jengeni chama kwenye mashina mpaka Sitimbi hao mnaoenda kuwalalamikia sio wapiga kura
 
Mungu hamfichi mnafiki, Chadema tena kupitia media yao wenyewe wamedhihirisha, they were behind the scene.
 
Mwenyewe nimeshangaa sana kwa kweli Chadema wanaingilia mambo ya ndani ya CUF.. Je ikitokea CUF wakasema hawamtaki Mashinji au Lisu je Chadema watalizia au hii kwa Chadema tu ndio wananguvu hiyo
Ukiona Tanzania imepeleka majeshi yake Kongo kulinda Amani ujue nchi ya Kongo pia imeridhia majeshi hayo kwenda. Acheni majeshi ya ukawa yamshughulikie huyu Nduli msaliti.
 
Mkuu TataMadiba usiseme kwa nguvu,maana utakuwa unamsema pia na yule mwingine.Maana alivyopewa Pound Milion 2.7 na Balozi wa Uingereza kusaidia Wahanga wa Tetemeko,alisema Uingereza wametupa hela hizo baada ya kuona tumewatumbua wale akina RAS na DED wa Bukoba.Hivyo wameona pesa wanayotupa inafanya kazi.

Mkuu akasema ataendelea "kutumbua" ili watusaidie kwenye maeneo mengine ya maendeleo maana wanajua hela zao wakitupa zinatumika ipasavyo.

Wewe ni mkongwe,unajua nini maana ya "International Relation and Dipolomacy"...Kila chama na nchi ktk Afrika huwa na "marafiki" nje ya mipaka ya nchi zao.

Mfano CCM rafiki yao mkubwa ni Chama cha Kikomunisti cha China,matatizo yao huyapeleka China,iwe ya kifedha au ya kisera.Hao wachina ndio CCM imewapelekea ombi hicho chama cha Kikomunisti kiwajengee chuo cha chama mbadala wa Kivukoni,chuo kitajengwa Ihemi-Iringa kwa msaada wa Wachina.

Ndio hao hao Makonda kaenda kuwaomba na sasa watajenga uwanja wa nyasi bandia pale chuo cha Utalii(bandari Tandika) kwenye uwanja wa "Ndondo Cup".Wakorea juzi wamesema watajenga daraja la kutoka Coco mpaka Agha Khan na mkuu wa nchi akasema ni msaada wa kujivunia.

Hawa Chadema kama chama,nao wana marafiki huko nje,urafiki haimaanishi "Ukooloni" bali "Uswahiba" tu,au kilicho halali Lumumba basi Ufipa ni haramu?
 
Ukiona Tanzania imepeleka majeshi yake Kongo kulinda Amani ujue nchi ya Kongo pia imeridhia majeshi hayo kwenda. Acheni majeshi ya ukawa yamshughulikie huyu Nduli msaliti.
Lipumba anapamabna na Lowassa wala siyo CUF wala CHADEMA, hawa akina Mbowe na Seif wote ni vibaraka wa LOWASSA.
 
Pale viongozi WA kisiasa wanapoacha kutetea maslahi ya wananchi na kuwataka wananchi watetee maslahi yao inakuwa shida sana kwa mwenye kutumia akili yake kuelewa siasa za Afrika.
Wananchi Wana changamoto lukuki lakini kamwe viongozi WA kisiasa hasa wasioko madarakani hawajawahi tumia nguvu kuifosi serikali kuhakikisha mahitaji hayo ya raia yanafikiwa.
Leo vijana hawana ajira serikali imetumia muda mrefu kufanya uhakiki hatuoni wapinzani wakipiga kelele za nguvu. Leo bei na soko la bidhaa halieleweki lakini humuoni kiongozi WA kubadili gia angani aki address Hiyo issue.
Leo makusanyo makubwa ya serikali lakini expenditure ya serikali Hiyo inayokusanya sana ili kutengeneza mzunguko mkubwa WA pesa uraiani haipo hao wabadili gia wako na maandamano ya kutetea maslahi yao tu.
Kumuelewa mwanasiasa na kuwa mfuasi wake lazima ujitoe ufahamu.
 
Cdm walivyo wao kuongoza chama ki miungu watu
Wanafikiria itakuwa rahisi kwa Cuf!!
Hawa watu wahovyo
 
Najaribu kujiuliza ingekuwa vipi kama sakata la Chadema na ZITTO, CUF wangeingilia.
 
Ukiona Tanzania imepeleka majeshi yake Kongo kulinda Amani ujue nchi ya Kongo pia imeridhia majeshi hayo kwenda. Acheni majeshi ya ukawa yamshughulikie huyu Nduli msaliti.
Una maana Seif amezidiwa sasa ameomba msaada kutoka Chadema? Jeshi la kigeni haliendi bure lazima kuna kitu kitafaidi, nini CHADEMA inavuna kwenye vita hiyo?
 
Tunasubiri kuona baada ya kwenda huko wamerudi na nini? Kuna waliodai wanaenda ICC walirudi na nini? Kila jitihada zina mrejesho, kila hatua ina pimwa kwa mafanikio.
 
Back
Top Bottom