mchovu wa fikra
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 335
- 396
Wadau ni mwaka sasa tangu tufanye uchaguzi na kupata matokeo katika nafasi mbalimbali za uongozi nchini,lakini kwangu imekuwa ngumu sana kuamini kuwa Mh.rais JPM ndiye rais wa Tanzania kwa sababu kila nimuonapo Lowassa nahisi hasa nimemuona Rais wangu na kibaya zaidi Mh.Edward Ngoyai Lowassa haonekani hovyohovyo hii inanifanya mimi kummiss sana kiongozi huyu wa nchi yangu.Ni heri kutendwa na mwanamke maumivu hayakuchukua siku nyingi nilirecover lakini maumivu ya Lowassa kutokuwa rais wangu yamekuwa yakinitesa sana,Miongoni mwa siku ambayo sitaisahau ni ile siku ambayo matokeo yanatangazwa,ninyi wenyewe mnaweza mkawa mashahidi mtaani kulivyopoa,basi mimi sikula kama kawaida kama siku kumi hivi,ilikuwa nikiwekea sahani ya chakula nakula tonge mbili au tatu,iliniuma sana haikuwahi kutokea.
Sasa huwa najiuliza hivi ni mimi tu au kuna wenzangu ambao nao pia wakimuona Mh.Edward Ngoyai Lowassa huhisi kuwa tumemuona rais wetu.?
Msaada jamani maana hali hii inaondoka lakini naona kuna kila dalili ya kudumu kwa muda mrefu ila kila nimuopnapo Magufuli huwa nacheka sana ,sijui kwanini.Na siku hizi watu wanakosoa sana kuliko pongezi na ndio maana malaika wameombwa kushuka.
Magufuli makes me Laugh while....
Lowassa makes me Happy,The Almighty God may be ahead of you Hon.Lowassa,You are living in a very sensitive part of my heart.I will hold you forever.