Recent content by Tilya18

  1. T

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali - namna ya kuweka link

    Bofya HAPA
  2. T

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    Ni inbox kwa kupitia hii E-mail
  3. T

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    Usiku mwema vijana, Mungu awalinde. :amen:
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

    You can avoid the reality, but you cant avoid the consequences of avoiding the reality. Mkuu, asante sana kwa uchambuzi wako yakinifu. Sasa watu wanaweza kuanza kuelewa kuwa kuelimika si kwa kupata tu elimu ile itolewayo madarasani{FORMAL}.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ilemela ashinda kesi ya kupinga matokeo

    Gr8, PEOPLES POWER. Big up kamanda Tundu Lissu.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wako kuhusiana na ''free internet''!

    Mkuu naomba uni-PM ya Airtel. Pls dont forget
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mpinga uonevu gerezani ni mahali pazuri pa kuishi

    Loading.....
  8. T

    JamiiForums Tanzania CHUO CHA UNESI KINACHUKUA DiV-0?

    BOFYA HAPA
  9. T

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali - namna ya kuweka link

    BOFYA HAPA
  10. T

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Dogo anataka kwenda tourism Mweka.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Mkuu Sizinga narudi tena kwasababu kuna dogo wajirani kaniomba ushauri baada ya kusikia nikisema haya mlo andika humu. Matokeo yake yako hivi:- Civ D Hist D Geo D Kisw F Engl F Phy F Chem D Bio D Agri D B/Math F yaani Division IV ya 29. Sasa Mkuu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Extension ya morogoro ni ipi hiyo mkuu au ndo 022?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Mwenye mawasiliano ya simu ya chuo hiki hapa chini naomba anisaidie. CLINICAL OFFICER'S TRAINING CENTRE, P.O.BOX 30, IFAKARA, MOROGORO. Tafadhali sana ndugu zangu, naomba mnisaidie.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Mkuu naomba uniorodheshee baadhi ya vyu vinavyo toa Diploma ya Clinical officers vilivyopo ktk mikoa ya Arusha na Kilimanjaro pamoja na addresses za vyuo hivyo. TAFADHALI NAOMBA MNISAIDIE!
  15. T

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Hivyo kwa ushauri wako mkuu ni bora dogo arudie hesabu ili aondoe hiyo F ili aweze kupata option nyingi university!
Back
Top Bottom