IT Guru
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 635
- 113
Hello Habari?
Kwa simu Hii kitu unaifanya Vip? Mpaka inakuwa Gonga hapa Hebu nipe huo ujuzi! Kwa njia ya simu!
poa mkuu.
kuweka link JF kwa simu ni hivi
Unaandika
(url="www.jamiiforums.com")CLICK HERE(/url)
yani ndani ya quotation hizi " " ndiyo unaandika website unayotaka kuiwekea link then pale nilipoandika CLICK HERE ndiyo unaandika maneno ambayo yajitokeze hapa kwenye post. Pia most important step. Kwenye zile bracket za hizi ( ) zibadilishe ziwe square bracket. Yani hivi [ ]. Zipo bracket nne za hvi ( ) so zote zibadilishe ziwe hivi [ ] .Nimeweka bracket za hvi ( ) ili niweze kuelezea mkuu maana ningeweka za hvi
[ ] ingetokea link yenyewe halafu usingeweza ona mfano wa link kwa simu inawekwaje.