Recent content by Tiles Installation

  1. Tiles Installation

    UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM

    Master Bedroom haina ukubwa maalum Master bedroom ni chumba kikubwa zaidi kiliio vyote kwenye nyumba.. Lakini pia mara nyingi huwa ni luxury zaidi kuliko vyumba vingine Hii ndio maana halisi ya master Bedroom Tujitahidi kuandika vitu ambavyo tunauelewa navyo...
  2. Tiles Installation

    Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    ukituletea upepo hapa tukauona tunakupa picha yake chap ukaweke sebleni kwako... ama hata upepo huamini kama upo?
  3. Tiles Installation

    Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    kwasababu hakuna mtu anaeweza kuumba mtu wala mtu anae weza kuumba Ardhi na mbingu kama yupo mtu anaeweza kuumba mtu basi aumbe mimi nitakuwa wakwanza kumsujudia na kumtangaza
  4. Tiles Installation

    Kwa wanaoamini hakuna Mungu, njooni hapa

    unataka ukampikie Chai au?
  5. Tiles Installation

    Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

    Ishaandikwa hatazikwa Ndiomaana walimzika yakatokea matetemeko tuseme akafufuka Ndiowakaona ni bora wasimzike Hata wakimzika kesho asubuhi basi jioni kitawaka tena then ataibuka tena... Sisi waislam tunaenda na mwongozo wa Quran tukufu Yeye anakuja na hoja nyepesi kabisa zisizo na mashiko...
  6. Tiles Installation

    Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

    Usiseme hivyo kaka Hujui tuu wanaboa kiasi gani Yani unaweza kusema hapigwi lakini siku ukajikuta tayari ushampiga mpaka unajiuliza imekuaje...? Shukuru sana Mungu kama wako katulia
  7. Tiles Installation

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Biashara za kushirikiana ni ngumu sana sana sanaa Unakuta wewe unamawazo na malengo ya kwenda mbali zaidi mwenzio akiona mmepaata faida ya milioni 20 tuu tayari anataka mgawane anunue IST 😁😁 Sitokaa nikashirikiana na mtu tena kwenye biashara
  8. Tiles Installation

    Mipango yangu ya kutafuta TSH milioni 2+ ndani ya miezi 18

    Nina mke na mtoto mmoja nimejenga na ninampango kabla ya mwaka kuisha niongeze mke wa pili na kujenga nyumba nyengine... Hii nyumba nyengine kujenga ni lazima hata nisipoongeza mke Kupanga ni kuchagua
  9. Tiles Installation

    Ujenzi wa nyumba vyumba viwili Master na kawaida choo na jiko muundo wa L

    Kwani choo ni lazima kiwe na harufu? [emoji848]
  10. Tiles Installation

    Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

    Kama kazini kwake ni Gongo la Mboto? Kati ya chanika na huko center kwako wapi asiingie mkenge kununua?[emoji23]
  11. Tiles Installation

    Gypsum designs

    [emoji3513]+255 714 122 011 Karibu whatsapp
  12. Tiles Installation

    Naomba mnisaidie gharama za finishing nyumba kama hii

    Hesabu za finishing ni baada ya kukamilisha boma, Hapo ni kama unazunguka tuu, Finishing inategemeana na hali ya boma lilivyo, Limejengwa vipi? Kuta zimenyooshwa vipi? Mfumo wa umeme umewekwa vipi? Sakafu imenyooshwa vipi? Njia zipi ulitumia kufanya ujenzi? Fundi wa boma anautaalam mkubwa kiasi...
  13. Tiles Installation

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Tupo pamoja mwana wa ISRAEL [emoji23]🫡[emoji91]
Back
Top Bottom