Recent content by Tieli

  1. Tieli

    JamiiForums Tanzania Athari za Mkopo wa Biashara, Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka Benki, nimejikuta katika hali ngumu sana

    Hahahaha mkuu mbona comment yako itamuongezea stress mleta Uzi😃😃😃😃
  2. Tieli

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa EAC-sSADC wajifungia Dar es salaam kujadili usalama wa DRC

    Viongozi wetu wamefutuka hapo😎
  3. Tieli

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mapokezi Mazito ya Rais Samia Mkoani Katavi

    Acha kejeli,, watu wenyewe wanaolia wako wapi hapo? Sasa hao walioenda kumpokea si wanaccm,
  4. Tieli

    JamiiForums Tanzania Petro Magoti kupiga marufuku pikipiki kubeba mkaa, nimewaza Mtanzania wa hali ya chini na namna sahihi ya kuwa na hekima juu ya sera ya mazingira

    Tunakoelekea mahindi tutachoma kwa gas, tukitaka kuota moto tutaota gas, si wa vijijini huku
  5. Tieli

    JamiiForums Tanzania Weka urafiki na wanajeshi (bakabaka) hutojutia

    Wale vijana waliouwawa na polisi wakidai ni panya road, ile ni haki au sio haki?
  6. Tieli

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya kuwa askari inayonitesa hadi sasa

    Ungejua tangu mwanzo ungeenda kuingilia jkt wilaya za pembezoni huko sio mjini,,, kuingia jkt kwa wilaya zilizo mjini kutoboa ni ngumu,
  7. Tieli

    JamiiForums Tanzania Afrika inaongozwa na wanasiasa uchwara

    Sio uongozi tu hata kama ni kazini wenye akili na uzalendo wakitaka kufanya kazi kwa bidii watapigwa majungu hadi waonekane takataka na wajinga Kati ya watu wavivu, wala rushwa, upigaji na wachumia tumbo
  8. Tieli

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimefanya Movie nyingine na Mwigizaji wa Kichina inaitwa "Kijiji Cha Milele" itatoka hivi karibuni

    Na hapo usikute analipwa posho kwa hizo movie uchwara
  9. Tieli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kukosa ulichokitaka na kupata ulichokitaka yote ni majanga

    Funguka zaidi ili na sisi tujifunze kutoka kwako
  10. Tieli

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mwalimu jamii inakuona hauna maana

    Tatizo kubwa ni woga wa maisha,, unakuta huyu mwalimu ndio ana msululu wa watu wanaomtegemea,,,, kwa muda atakaokua kaacha kazi je ataishije,,, sasa yale mawazo ya kuwa je atatoboa nje ya ajira lazima yampe woga
  11. Tieli

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mwalimu jamii inakuona hauna maana

    Mpwayungu mi nadhani ungekuja na njia nzuri ya kuwasaidia hawa walimu, mtu anafundisha mfano kiswahili /geography/ civics na mshahara wenyewe ndio huo sasa unasema wewe unaweka mafuta siku 3 Mpe mbinu basi ajikomboe vipi kwa hiko kimshahara ina maana hata mtaji wa kufanya mishe nyingine haupo hapo
  12. Tieli

    JamiiForums Tanzania Wabunge wakatwe mshahara, pesa zitakazopatikana zitumike kulipa mishahara ya vijana watakaoajariwa?

    Unazijua sifa za mtu mbinafsi?
  13. Tieli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boss wangu amemtolea mahari mwanamke mwingine; naumia sana

    Mbaya zaidi kama ulikuwa na nyodo kwa wafanyakazi wenzio kisa kutoka na boss kazini utapaona pachungu au kama wote walikuwa wanajua wewe ndio chakula ya boss halafu anaolewa mwingine hayo ni maumivu mengine tena
  14. Tieli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona anasita au hataki kukuoa daka ujauzito halafu goma kuutoa, atakuoa tu

    Unakuta mpo kama watano hivi wote mmejazwa mkajazika, ataenda kujitambulisha kwa yupi?
  15. Tieli

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maafisa wa TRA, TAA, Airport Cargo jijini Dar na rushwa ndogondogo

    Nani wa kuchukua hatua kwa unavyojua serikali yetu ilivyo
Back
Top Bottom