Recent content by tidav

  1. tidav

    Ni mwendo wa kutoa dozi mwanzo mwisho na mvua hii

    Watu wengine akili zenu za kushikiwa huoni hata haya muwe mnakua jaman sifa zingine za kijinga
  2. tidav

    Tunanunua ufuta

    Hao madalali labda kama wanahifazi huo mzigo bei hiyo sizani lakini ni soko hulia uanaweza ila sisi tunapokea mzigo kutoka mikoa mingi kwa sasa kwa bei hiyo
  3. tidav

    Tunanunua ufuta

    Bei inatofautiana mkuu kutokana na quality ila inaanza na 2000 na kuendelea mapaka 3000 per kg
  4. tidav

    Tunanunua ufuta

    Wadau wenye mzigo kiasi chochote tunanunua. Tuko nyerere road lete sample kabla haujaleta mzigo ili kuondoa usumbufu. 0716300776
  5. tidav

    Harusi kuanza kulipiwa kodi

    Serikali ijiandae pia kulea watoto wa mitaani maana wataongezeka sana watoto wasio na baba
  6. tidav

    Mnada wa magari unafanyika muda huu Bandari ya Dar

    Ww sio mzoefu wa minada inafanyika pale wl9 nyuma ya waterfront
  7. tidav

    Mnada wa magari unafanyika muda huu Bandari ya Dar

    Huu mnada unaweza pata gari ya bei poa sema madalali wamekua wengi wanaagizwa na matajiri ndo wanao pandisha bei za magari kwenye mnada
  8. tidav

    Mnada wa magari unafanyika muda huu Bandari ya Dar

    Yeah unafanyika hapo jumatatu na ijumaa sasa hivi unaendeshwa na kampuni ya YONO
  9. tidav

    Katibu CWT: Ndalichako anapaswa ashitakiwe haraka

    Hao watu wa kawambwa acheni mama apige kazi mlikua mnatudanganya mwanao kafaulu eti kapata credt mara sijui merit cjui nn mnatuficha tu ni bora wafaulu wachache ambao umma unaamini kua kweli wamefaulu sio kufichaficha tu. Huyu bilashaka alinufaika na vikao vya kupongezana na kawambwa kwamba brn...
  10. tidav

    Rais wetu magufuli tuwekee hili sawa (umeya) kulikoni?

    Utabaki kusema mtukufu mpaka mwisho wa dunia na hakuna kitakachobadilika
  11. tidav

    Wanunuzi wa Mbaazi wa AZAM

    Hiyo mbaazi ya season iliyopita nn? But nicheki inbox tuyajenge 0716300776
  12. tidav

    Mnada wa magari unafanyika muda huu Bandari ya Dar

    Yeap nikweli lakini kuna wengine wanaagiza afu wanakausha wanasubiri mnada wa vitu vyao then wananunua wenyewe hayo magari tra wanataka kodi yao japo sasa hivi naona bei zao kama ziko juu vile
  13. tidav

    Mnada wa magari unafanyika muda huu Bandari ya Dar

    Kweli kaka hawakutangaza mapema wengi wakajua
  14. tidav

    Mnada wa magari unafanyika muda huu Bandari ya Dar

    Hahahaaa typing error kaka
Back
Top Bottom