siku zote hujitangazia wenyewe kwa wenyewe tu we mwenzangu na mimi usiye karibu na silikali hutaushia kusikia tuKweli kaka hawakutangaza mapema wengi wakajua
Kweli kaka hawakutangaza mapema wengi wakajua
Unayo tani moja ya hilux au hilux tani moja?mkuu kama unahitaji pickup ni pm no yako nkutumie picha tuyajenge ninayo tani moja ya hilux
hilux pickupUnayo tani moja ya hilux au hilux tani moja?
Nahitaji single cabin 4wd 2.8.hilux pickup
Kweli kaka hawakutangaza mapema wengi wakajua
Walitangaza kwenye gazeti la mwananchisiku zote hujitangazia wenyewe kwa wenyewe tu we mwenzangu na mimi usiye karibu na silikali hutaushia kusikia tu
mm habari ndo napata sasa hv sasa mpk nitoke huku PUNDAIMATO nifike huko huo mnada si ushaisha tayali !!
poa mkuu mi nina single cabin,automatic,petrol 2wd ina nguvu hatariNahitaji single cabin 4wd 2.8.
Hapana mkuu nahitaji 4wd kwa ajili ya kazi za porini.poa mkuu mi nina single cabin,automatic,petrol 2wd ina nguvu hatari