Mnada wa magari unafanyika muda huu Bandari ya Dar

Mnada wa magari unafanyika muda huu Bandari ya Dar

nilishawahi kwenda mnada.. bei haipishani na show room... ni full usanii tu..

bora ununue gari lako halali tu
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Yeap nikweli lakini kuna wengine wanaagiza afu wanakausha wanasubiri mnada wa vitu vyao then wananunua wenyewe hayo magari tra wanataka kodi yao japo sasa hivi naona bei zao kama ziko juu vile
Eeeeh kumbe ndio tabia zao
 
Yeah unafanyika hapo jumatatu na ijumaa sasa hivi unaendeshwa na kampuni ya YONO
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Huu mnada unaweza pata gari ya bei poa sema madalali wamekua wengi wanaagizwa na matajiri ndo wanao pandisha bei za magari kwenye mnada
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Yeah unafanyika hapo jumatatu na ijumaa sasa hivi unaendeshwa na kampuni ya YONO
Mkuu Bandarini sehemu gani hapi?huo mnada ulikuwa unafanyika?kama ni magari itakuwa kwenye yard humo ndani na yadi zenyewe ni Gc,Mivinjeni,Copper yard,LQ,New yard sasa mnada ulikuwa wapi?kwa uzoefu wangu Bandarini hapanyiki mnada na haikuwahi kufanyika huo mnada.
 
Ww sio mzoefu wa minada inafanyika pale wl9 nyuma ya waterfront
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Ww sio mzoefu wa minada inafanyika pale wl9 nyuma ya waterfront
Hahahaha!uzi wako uliukosea na ndiyo maana nimekuambia weka sawa pale siyo Bandari,ninaijua Bandari toka mwaka 1990 naijua mpaka naugua toka nimekuwa kibarua.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Vitu vya mnada naona ni nuskii na laana tupuuu.
Maana wengine wanaodudhulumiwa na kuonewa kw akutokujua tuu.
Sifikirii kwenye maisha yangu kununua vitu vya mnada wa style hii kabisaaaa.

Bora niongeze kidogo tu nichukue kwa uhalali na bila mashaka yoyote
kwa hiyo wewe hauvai mtumba?

swissme
 
  • Thanks
Reactions: MC7
walijisahau wakawa wanatumbua kumbe nao jipu.
 
Nimedownload izo list za vitu vya mnada.. Nimekuta gari ya Joseph Kusaga - Bentley Conti FS nayo itapigwa mnada! Kweli haya mambo ni deal tu..

Inakuwaje hapo ?
Au ni njia ya kukwepa kodi wanatoa kwa gia ya mnada
 
Watu kwenye vya 'dezo' ndo usiseme, siku wakikuuzia vitu vyako utalia.

Wanachofanya TRA sio dezo ni dhulma Kwa Watu wenye Mali zao, Na wao Ndio utaona Mungu anawahukumu. Utaratibu mbovu wa ulipaji kodi Ndio yanayotokea, kila siku ninafanya Biashara hiyohoiyo kiasi hicho hicho lkn kodi zinakua tofauti kila utakapoleta mzigo wako.
 
Kama hujawahi fanya biashara it means hujawajuwa TRA kwa jinsi walivyo wapuuzi, kila mwaka utozwaji hubadilika hata kama biashara yako haijapanuka.
 
Back
Top Bottom