Mnada wa magari unafanyika muda huu Bandari ya Dar

Mnada wa magari unafanyika muda huu Bandari ya Dar

tidav

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2013
Posts
262
Reaction score
40
Kwa wenye mipesa yao ni muda muafaka mnada unaendeshwa na majembe auction mart.
 
Hahahaaa typing error kaka
 
Kweli kaka hawakutangaza mapema wengi wakajua
 
Ni minada ambayo ipo tu kila week mbona? Kuna magari na vitu tofauti tofauti kila week na ni pale LW9 ndio mnada hufanyikia hapo. sidhani kama kuna jipya sana, magari ni mengi this time na wamepandisha bei kimtindo. ukikosa leo ndenda next week Monday au watatangaza tena siku ya mnda week ijayo ila kwa week hufanyika mara mbili. Tatizo ni maafisa wa TRA kila siku wanajifanya wako busy kwahio unaweza kuambiwa mnada ni saa nne au saa tano lakini saa nane mkatangaziwa kuwa mnada hautakuepo! Yaani kwao ni kitu cha kawaida tu
 
Hivi majembe si ilifilisiwa baada ya kushindwa kulipa deni la yule mteja wao ambaye waliuza gari take kimakosa?
 
Watu kwenye vya 'dezo' ndo usiseme, siku wakikuuzia vitu vyako utalia.
 
Back
Top Bottom