Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,057
- 23,510
Ni imani ya watanzania waliowengi ya kwamba rais wetu ni mwadilifu aliyetukuka kwa kiwango cha hali ya juu, hasa katika upande wa utendaji na uwajibikaji.
Swali la msingi hasa juu ya waraka huu ni kwamba!, kuna siri gani? au uozo gani ? ambao baadhi ya viongozi wa chama fulani hawataki UVUNDO huo uwekwe hadharani?
hakika hii ni aibu kubwa, hasa juu ya dhamira nzima ya Rais wetu magufuli kuhusiana na utendaji na uwajibikaji hasa katika sekta zote kuanzia ngazi za shina kata hadi jimbo.
*RAIS MAGUFULI, KUFANYA KAZI NA MAYOR WA UKAWA NI JAMBO LA AFYA ZAIDI HASA KATIKA UTAWALA WAKO HUU WA UTUMBUAJI MAJIPU.
*ACHIENI HAKI HIZI NDOGO NDOGO ZIFUATE MKONDO WAKE.
*bila kujali huyu ni wa upinzani huyu ni wa kule huyu ni wa huko sote tufanye kazi moja,tusonge mbele....