Tunanunua ufuta

tidav

JF-Expert Member
Mar 31, 2013
262
40
Wadau wenye mzigo kiasi chochote tunanunua. Tuko nyerere road lete sample kabla haujaleta mzigo ili kuondoa usumbufu. 0716300776
 
Weka bei bayana otherwise hakuna atakaye jipendekeza kukutafuta bila kujua bei. Kumbuka wenzako wanapita kwenye majumba ya wakilima kabisa the
 
Bei inatofautiana mkuu kutokana na quality ila inaanza na 2000 na kuendelea mapaka 3000 per kg
 
Hao madalali labda kama wanahifazi huo mzigo bei hiyo sizani lakini ni soko hulia uanaweza ila sisi tunapokea mzigo kutoka mikoa mingi kwa sasa kwa bei hiyo
 
Back
Top Bottom