Recent content by Tibalikwenda

  1. T

    Gari kuitwa Baby walker

    Hiyo yenye engine ya 2.4l Siyo baby walker. chini ya cc 1500 ndo baby walker Mkuu. Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  2. T

    Gari kuitwa Baby walker

    Pambana Mkuu ununue SUV, shida ni hizo gari kuhimili safari ndefu, hivi gari Kama IST waweza safiri dar to mwanza , speed above 100kph non_ stop? Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  3. T

    Ni kipindi gani kigumu ulishawahi kupitia ambacho kilikupa hasira ya kutafuta pesa kwa nguvu?

    Huu uzi NI muhimu Sana kwa wanachuo wote kuupitia , unaonesha ni namna gani elimu tunayoipata chuoni haitusaidii kabisa tunaporudi kitaa wahitimu wengi wanateseka Sana wanaporudi kitaa, ushaur wangu wanachuo wote washtuke mapema waweka mguu 1 chuoni mwingn kitaa ili kupunguza mateso baada ya...
  4. T

    Kasumba kuhusiana na mji wa Moshi

    Moshi vijijini Kuna wa Bibi wa kichaga miaka 70 wanafuga ngombe wa maziwa 2 au 3 kibiashara wanapanda milima na kushuka kusaka nyasi za kulishia ngombe ni hatari. Kule kiboriloni sokoni Kuna wanawake wanafanya biashara ya mitumba ni hatari , Wachaga popote mlipo nawapa Salute,.
  5. T

    Teknolojia ya 3D printer ya kujenga nyumba

    Hii tech. Kuna uzi wake humu aliuwekaga Ontario miaka kama mi 5 iliyopita, wazanaki wa humu j.f wakampiga majungu sana kisa forex jamaa akasepa, Salute kwako Ontario popote ulipo.
  6. T

    Kasumba kuhusiana na mji wa Moshi

    Moshi janja janja Sana si wanaume si wanawake wote ni wa janja kwa mgeni si rahisi kutoboa Mana wenzio unakuta tayari fursa ZOTE wameshaziteka labda uwe na mtaji Mkubwa ndo waweza fanikiwa.
  7. T

    Mercedes Benz C200 Compressor

    Mkuu kuwa mpole unaposhauri wadau waagize spare nje unakuwa umegusa maslahi ya watu, ila ukweli kuagiza kunapunguza garama tofauti na kununua spare nchini Mana Bei ni kubwa alafu spare nyingi no fake.
  8. T

    Ushauri: Mahindi ya Kuchoma

    Nimi nimepanda pioneer wanasema ni mazuri kuchoma tofauti na DK nataraj uza mabichi mwezi wa 12.
  9. T

    Ushauri: Mahindi ya Kuchoma

    Unalima mbegu gani? Ya muda wa miezi mi ngapi Hadi kufikia kuchoma?
  10. T

    Kuna mafundi Hyundai Santa FE Tanzania?

    Tatizo gari za Korea ni left hand ,gari Kama Kia Sorento, Hyundai Santa Fe ni left hand drive ila ni gari nzuri Sana.
  11. T

    Is forex difficult to learn?

    Ontario kashtuka mapema kawa broker,.Salute kwako Ontario popote ulipo.
  12. T

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Mkuu umetisha, spacio kumbe kao vizuri na kana matumizi mazuri ya mafuta.
  13. T

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tutaweza Kama kiboboso alivyoweza kuukomesha umaskini.
  14. T

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sababu ni kuwaona matajir wamefanikiwa maskin gafla hujaa hasira ya kuwachukia waliofanikiwa.
Back
Top Bottom