Kuna mafundi Hyundai Santa FE Tanzania?

Nazipenda sana hizi gari ila nadhani nina kauoga kidogo kama cha mtoa mada. Model za kuanzia miaka ya 2014 zimekaa vizuri sana
 
Unamjibu kirahisi as if hizi gari ni common sana. Mpaka miaka ya hivi karibuni watu wamekuwa wakilalamika na mafundi wa magari ya Nissan, tena Xtrail tu, sembuse Hyundai. Sijaribu kusema hakuna mafundi nadhani si wengi. Niko tayari kujuzwa zaidi

Mafundi wa hizo gari wapo wa kutosha ila huwezi kuwapata chini ya mwembe,
 
Mafundi wa hizo gari wapo wa kutosha ila huwezi kuwapata chini ya mwembe,

Ndo hao tunakujaga kulia kuwa magari fulani mazuri ila mafundi ndo hawayajui. Mi sio nguli lakini sio mgeni wa magari na mafundi, so nimeuliza swali genuine kabisa. Tunaposema mafundi hawapo tunamaanisha kuwa makini na mtu unayempelekea hilo gari. Mafundi wengi waliojaa bongo ni wa toyota na mazoea, ukija na gari ambalo sio common….kuwa makini.
 
Ningependa kujuzwa pia wapi naweza pata Engine ya Hyundai Tucson 2007 kwa hapa home au afrika mashariki
 
Unamjibu kirahisi as if hizi gari ni common sana. Mpaka miaka ya hivi karibuni watu wamekuwa wakilalamika na mafundi wa magari ya Nissan, tena Xtrail tu, sembuse Hyundai. Sijaribu kusema hakuna mafundi nadhani si wengi. Niko tayari kujuzwa zaidi
hahahaha Hyundai kweli ndio yakuchachafya watu..broo maisha umebadilika sana now days harafu hakuna cha ajabu kwenye hizo gari zaidi labda spare ..kwanza huwa nashangaa kama maagizo magari ya milion 10 mnashindwaje kuagiza spare za milion 2 au 3 ..shida kubwa huwa ni spare na sio mafundi kwa sasa
 
Sawa ndugu ila hakuna anayenunua gari hata kama ni bei ghali ili aligharamie kwa bei ghali. Ila nikuelewe tu kuwa hizo gari hazina complications. Na hyundai za kuanzia 2013, 2014 sio za miaka ya nyuma
 
Back
Top Bottom