Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 757
- 2,141
Nimekuwa naona mijadala mbali mbali juu ya miji tofauti hapa Tanzania. Mijadala juu ya maisha ya kijamii, mzunguko wa fedha, fursa za biashara, utulivu wa mji, mwingiliano na ukarimu (hospitality)
Ukigusia mji wa Moshi, tumekuwa tunapata hisia mchanganyiko (positive na negative). L
Ningependa tupate maoni ya wana jamii waliohamia kwenda mji wa Moshi na hali ya maisha waliokutana nayo hapo katika nyanja tofauti za jamii, uchumi na biashara.
Karibu.