Recent content by Threesome3

  1. Threesome3

    JamiiForums Tanzania Aina ya watu wasiotaka chanjo ya Uviko-19

    Nchi zilizoendelea wao wenyewe kuna wananchi hawataki Ufaransa,marekan n kwingineko sasa nawao wana vigezo ivoo
  2. Threesome3

    JamiiForums Tanzania Aina ya watu wasiotaka chanjo ya Uviko-19

    Wewe ndyo fala!! Kwan n lazima!! Mwili wangu unilazimishe kuchoma yann!! We choma kausha!! Ingewekwa kama chanjo nyingine kungekua hamna kelele!!... ushasikia watu wanalalamika kuhusu chanjo ya homa ya ini au manjano!!?
  3. Threesome3

    JamiiForums Tanzania Bilioni 1.6 imeibiwa ndani ya miezi miwili na Waziri wa Fedha Mwigulu yupo!

    Bye enzi za kutumbua majibu Bye enzi za kukamata mafisadi Bye enzi za vyombo vya ulinzi imara Viva magufuri
  4. Threesome3

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Hawawezi kuja kusema!! Wala kukiri
  5. Threesome3

    JamiiForums Tanzania Tuliwambia hii Nchi bila wapinzani kuitetea ni kazi bure. Mmeona wenyewe. Msilie sasa kaeni kwa kutulia.

    Upinzani ni another hand of foreign hand !!...Mnachotaka n kuchukua nchi kuendelea kuwalisha mabwana zenu wazungu !! Viva magu
  6. Threesome3

    JamiiForums Tanzania Nahamishiaje video na picha kutoka kwene i Phone kwenda kwenye Computer/ Laptop

    Unahamisha kwa kutumia nn bluetooth au wire usb
  7. Threesome3

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea Afrika Kusini liwe fundisho kwa wanamapinduzi wetu wa Katiba Mpya

    Katiba tunahitaji sawa lakini twende taaratibu!! Na kuna watu wanazani katiba ikibadilishwa kana kwamba ndo suruhisho la mambo yote!! Natoa onyo mnajidanganya sanaa
  8. Threesome3

    JamiiForums Tanzania Nahamishiaje video na picha kutoka kwene i Phone kwenda kwenye Computer/ Laptop

    Hello, Nawezaje kuhamisha mafaili kutoka kwenye simu yangu ya iphone kuingia kwenye computer. Nawasilisha
  9. Threesome3

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutibu tatizo la kuota kwa chuchu kwa mwanaume?

    Weka picha tuone kama zinashikika
  10. Threesome3

    JamiiForums Tanzania Chombo cha habari cha Diallo kilitumika sana na media za mabeberu kumchafua Magufuli

    Na wana mamruki wao humu tz wamewapandikiza
  11. Threesome3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

    [emoji4][emoji4][emoji4]yumo humu ameshaelewa maana ID yako anaijua
  12. Threesome3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

    [emoji4][emoji4]
  13. Threesome3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

    Yaan huyu[emoji4][emoji4]
  14. Threesome3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

    [emoji4][emoji4]
Back
Top Bottom