Mpenzi wangu ananisumbua kila wakati. Nifanyaje?

Kabisa mkuu,yani stress nilizo nazo hapa ndomaana tunakufa mapema.Kuna muda nilikuwa na wife tunapiga story sebuleni mkao tuliokaa na menenao anayozungumza unaona kabisa huyu mwanamke ananipenda,yani hapo ndo natamani kuchanganyikiwa kabisa nikifikiria akijua ataumiaje?

Anajaribu kunichekesha ila akili haipo kabisa.
Love is hard. It hurts a lot
 
Wewe una tamaa ya kufanya nao ngono lakini huna mapenzi nao. Huwezi kuamini ninachosema lakini kuna siku utakuja kuona ukweli wake. Baada ya kulala na huyo kimada ulinogewa kiasi cha kutaka kuendelea kuwa naye ili mfanye ngono. Ni kwa muda huu tu lakini kuna siku utaona kama anakusumbua na utajiambia mwenyewe uachane naye ili asivunje ndoa yako.
 
nmechekaa dahkale ka toto n shida aise
Kenyewe...... haroooo mamboo
Me.................Pow mambo
Kenyewe.........unafanini
Mimi ................nakula
Kenyewe..........unakula nini
Me ....................ugari
Kenyewe ............wa mahindi
Me ......................ndio
Kenyewe............ya kukoboa au yakusagiliza na mapumba
Me......................
Daaaaaaaaaah
 
Nimejikuta njia panda kabisa, huyu binti nampenda sana tena sana tu na huwezi amini nilimkuta bikra kabisa . Mke wangu nae nampenda sana tena sana, yaani nimeamini kumbe moyo unaweza kupenda mara mbili.

Sina plan za kumtelekeza kwa namna yoyote ile, ila nawaza tu mke wangu ataipokeaje hii taarifa maana ana wivu sana.Nawaza ikitokea situation ya kuchagua mmoja kati yao itakuwa ni mbaya sana kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ivi kumbe mapenzi yanagawanyika
 
Kuna binadam wengine Ni wagum kuelewa aisee mtu anajua ratiba zako uamkapo Asubuhi Ni mchakamchaka afu anakupigia mchana anataka muongee nusu saa na mnachoongea hamna Cha maana ...! Msg kila saa usipo jibu anaona kama unampotezea usiku anataka muongee lisaa ***** mtu umechoka upo hoi . Mahusiano ya hvi nakimbia ndani ya wiki

Nakuunga mkono
 
Kabisa mkuu,yani stress nilizo nazo hapa ndomaana tunakufa mapema.Kuna muda nilikuwa na wife tunapiga story sebuleni mkao tuliokaa na menenao anayozungumza unaona kabisa huyu mwanamke ananipenda,yani hapo ndo natamani kuchanganyikiwa kabisa nikifikiria akijua ataumiaje?

Anajaribu kunichekesha ila akili haipo kabisa.

yumo humu ameshaelewa maana ID yako anaijua
 
Mwanzo alikuwa kwenye kipind cha mpito, yupo na mtu wake wa zaman huku kakukubalia wew.

So sasa hivi kashaachana na mtu wake rasmi, kaamishia majeshi kwako kwa nguvu zote. Mpokee kwa mikono miwili, hayo ni mapunguvu madogo tu.

SUKAH
Hii comment imebeba mada yote
 
Penzi jipya ktk ubora wake.
Hv kumbe likiwa jipya texts zinakuja mfululizo eeh

Nakumbuka Kuna katoto flan ka IFM kipind naanza nako ..kalikua kananichatisha hatari ..Yan sms za mwezi 2000 ziilisha katkat ya week ya pili ... Ila sahv tushazoeana ...Kwa mwez texts hazizid 50
 
Back
Top Bottom