Threesome3
Member
- Jun 27, 2021
- 74
- 59
Hello,
Nawezaje kuhamisha mafaili kutoka kwenye simu yangu ya iphone kuingia kwenye computer.
Nawasilisha

Kwa video sijui, Ila kwa picha kama kwenye android tu.Hello,
Nawezaje kuhamisha mafaili kutoka kwenye simu yangu ya iphone kuingia kwenye computer.
Nawasilisha
Kwa video sijui, Ila kwa picha kama kwenye android tu.
Sio kweli. Huwezi tumia usb