Naomba kujua experience zenu,
Ulishawahi kuomba kazi sehemu iwe office, kampuni, au eneo la biashara alafu unakubaliwa kazi but kwa kutokulipwa mshahara yani unaambiwa kama unataka kujitolea sawa but for now hatuwezi kukulipa.
So unajigharamia nauli na chakula mwenyewe, naombeni experience...