Ajira ni ngumu jamani

Three idiot

Senior Member
Jul 14, 2016
188
154
Naomba kujua experience zenu,

Ulishawahi kuomba kazi sehemu iwe office, kampuni, au eneo la biashara alafu unakubaliwa kazi but kwa kutokulipwa mshahara yani unaambiwa kama unataka kujitolea sawa but for now hatuwezi kukulipa.

So unajigharamia nauli na chakula mwenyewe, naombeni experience zenu mliyopitia haya coz kunakazi nimepata K/koo but nikama internship sitolipwa mpaka mbele ya safari ndo itajulikana.
 
Nenda kafanye mkuu ukiwa kazini kazi zitakuja lakini ukikaa home mhh mi nilipata kazi kabisa na makubaliano kila kitu ni company ya MTU ila ilikuwa ikifika mwisho wa mwezi dah hadi kichwa kinauma naenda dai pesa yangu kama naomba msaada ila sikuacha pale pale nikatengeneza connection na watu nikapata kazi nyingine nikaondoka ila cha moto nilikuwa nakiona hivo usikate tamaa nenda
 
Naomba kujua experience zenu,

Ulishawahi kuomba kazi sehemu iwe office, kampuni, au eneo la biashara alafu unakubaliwa kazi but kwa kutokulipwa mshahara yani unaambiwa kama unataka kujitolea sawa but for now hatuwezi kukulipa.

So unajigharamia nauli na chakula mwenyewe, naombeni experience zenu mliyopitia haya coz kunakazi nimepata K/koo but nikama internship sitolipwa mpaka mbele ya safari ndo itajulikana.
Mtembea bure sio sawa na mkaa bure!! nenda tu
 
dah bora ww umeitwa kwenye kujitolea mm hata kujitolea nanyimwa naambiwa niandike barua kwa mkulugenzi then nikifuatilia majibu yangu naambiwa nafasi za kujitolea hakuna saizi serikalini hapa halmashauri ya jiji lambeya
 
Ndugu mm nimeambiwa nikajitolee kwenye duka la wachina sasa cjui kwa experience hapo napatana nn..... labda kwenye connection ndo naamini nitapata
 
Naomba kujua experience zenu,

Ulishawahi kuomba kazi sehemu iwe office, kampuni, au eneo la biashara alafu unakubaliwa kazi but kwa kutokulipwa mshahara yani unaambiwa kama unataka kujitolea sawa but for now hatuwezi kukulipa.

So unajigharamia nauli na chakula mwenyewe, naombeni experience zenu mliyopitia haya coz kunakazi nimepata K/koo but nikama internship sitolipwa mpaka mbele ya safari ndo itajulikana.
iba
 
Nenda tu ukiwa kwenye system n rais kupata sehem nyngne kuliko kkaa home bila ishu yoyote hata kama n kujitolea nenda mwshowe wataona aibu na kkupa nauli then unakuwa ukitafuta mishe ukipata chomoka
 
Hiyo hela ya nauli mwezi mzima plus hela ya chakula mchana mara miezi utakayofanya kazi bora ukaziweka ukafungua biashara ya karanga kwa mwezi unajua umeingiza faida kiasi kuliko kumfaidisha mtu bila malipo, fanya marketing for your own business
 
Ndugu mm nimeambiwa nikajitolee kwenye duka la wachina sasa cjui kwa experience hapo napatana nn..... labda kwenye connection ndo naamini nitapata
Ndio Ukianza uchakarike kutafuta bila Kupoteza muda ongea na watu uliza nk
 
Hiyo hela ya nauli mwezi mzima plus hela ya chakula mchana mara miezi utakayofanya kazi bora ukaziweka ukafungua biashara ya karanga kwa mwezi unajua umeingiza faida kiasi kuliko kumfaidisha mtu bila malipo, fanya marketing for your own business
Hili nalo neno....ndo maana nime post uzi mwingine ktk forum ya biashara.... nataka kwenda singida nikanunue mayai ya kienyeji.....bt kuna mambo kadhaa yananitatiza nimeomba ushauri huko
 
Naomba kujua experience zenu,

Ulishawahi kuomba kazi sehemu iwe office, kampuni, au eneo la biashara alafu unakubaliwa kazi but kwa kutokulipwa mshahara yani unaambiwa kama unataka kujitolea sawa but for now hatuwezi kukulipa.

So unajigharamia nauli na chakula mwenyewe, naombeni experience zenu mliyopitia haya coz kunakazi nimepata K/koo but nikama internship sitolipwa mpaka mbele ya safari ndo itajulikana.
Fanya ikuongezee CV ya uzoefu

Pia utajua shida za waajiri hasa private
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom