Ushauri: Amesema nimtafute tu msichana mwingine ila bado nampenda

Kwanza kubali matokeo,,unajua umekuja kuomba ushauri sababu hujakubali matokeo, ukisbakubali matokeo ishi kwa juhud zaid ya chochote unachofanya,weka akil yako na umfanye kama rafik yako wa kawaida sio km mpenz tena,,akishaona kwamba huna time nae atajiona amekushinda sasa we geuza kibao kwa kumkumbusha matukio yake muhim kama birthday,,au km ni mkristo mkumbushe muwah kanisn,au km muislam mkumbushe kuswal na kufunga,msaidie hata bila yy kukuomba huo msaada, km mpo chuo jitahid kumjali hata kwa salam tu Mara kwa Mara baade atageuka,ila ONYO HAPA,, usimwombe mrudiane mwambie tu bado upo moyon mwang kila siku....mwambie tu pamoja na kuniblock kila mahal kuna sehem umeshau,,akiuliza WAP mwambie MOYON MWANGU....
Ahsante mkuu
 
Alternative heading: "kisa cha mapenzi ya tamthilia chuoni" embu mtu aniwekee kwa ki spaniola itanoga sana....
Mkuuu usipokimbia utabebwa mgongoni na usikubariii usinzie na fegi mpaka uchome kibanda coz matobo ya ngozi kwa mchunaji lazima huwa hayakwepeki xo be strong sabab hukuzaliwa na yy xo hata furaha yako haitegemei uwepo wake haujakataliwa na mama ako mzazi bhana,kula bata kuwa normal mpaka ashangaaae yaani sawaa kaka????
 
Poa kaka
 
Back
Top Bottom