Hali ya huduma Hospitali ya Mkoa Temeke ni mbaya sana
Nimekuja na mgonjwa ni zaidi ya dakika arobaini hakuna huduma yoyote, vyumba vya madaktari viko wazi, Waliopo wanadai kila mmoja sio zamu yake.
Wagonjwa tuliopo hapa hata hatuwaelewi, wengine hawajui wanasaidiwa na nani na...
Wakazi na watumiaji wa Morogoro road leo muwe wavumilivu tu, la sivyo muwe na mbadala.
Kuna foleni kuanzia kimara kibo, magari yanasogea mwendo wa konokono.
Nawasilisha
Habari Nahitaji VIBARUA 10. Eneo la KAZI ni GSM MALL PUGU KARIBU NA QUALITY PLAZA. Malipo ni 10,000 + Chakula hapo kwa siku
+255 620 815 059 Robert - wasiliana na huyu jamaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.