Wewe ya watu zaidi ya watano umeipata wapi tujuze, tusikalie maneno yasiyo na tija Msiba utauficha Vipi? Nani aliwaambia waibe mafuta kila siku tunaambiwa hatusikii.
Kama kweli ni madereva sahihi waliohitimu kweli udereva kwanini hawataki kukaguliwa? Vyeti fake watakuwa nacho hao lazima serikali isimamie hilo kuwabaini wenye vyeti magumashi.
Yah! Hii kitu ina maana sana! Nyumba zinazojengwa na NHC kweli hazisaidii kwa walio na kipato cha chini. Gharama zake ni kubwa mno na hazilingani na pesa zinazotakiwa kulipwa.
Amepewa vingapi ameishia kuuza na kufanya udalali na kudanganya watanzania kwa misaada ya pipi. Kuwa makini na unacho danganyiwa kili kitu niko wazi Kwanini asiende kuchukua kitalu? Anaishi kulalamika kwenye media.
Basi la Najmunisa limepata Ajali jana asubuhi maeneo ya Shinyanga lilikuwa likitokea Mwanza kuelekea Dar es salaam.
Ajali imetokea Kama kilometa tatu kutokea stendi ya Shinyanga Chanzo cha Ajali inasemekana tairi ya mbele ilipasuka na kumshinda dereva hivyo kupelekea Basi Hilo kupinduka.
Hadi...
Kuna mgomo wa mabasi ya abiria yapitayo Singida! Tunatembea kwa mwendo wa harusi kwa kufuatana tokea Mwanza tutapofika Singida nitawajuza vizuri maana inasemekana dereva mwenzao alipigwa na askari hadi kuvunjwa mkono hapo njiani Singida
Pole sana! Hilo ni tatizo sugu kwa madereva wa bodaboda wanaona Gari imesimama inapisha gari ingine au waenda kwa miguu wao hulazimisha kupita bila kujua athari zake ndio ajali hizo mara nyingi zinatokea bevy waache ujinga huu .wanapaswa kujiuliza kwa nini Huyu wa mbele amesimama nawe simama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.