Watu watano wameuawa na wengine kujeruhiwa igunga tabora

Watu watano wameuawa na wengine kujeruhiwa igunga tabora

AIRE MAN

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
221
Reaction score
65
Watu 5 wameuwa bda yakundi lawafugaji kuwavamia wakulima nakuchoma nyumb za wakulima.source tbc taifa
 
Ni wataturu wanadai ardhi walioicha sasa wanarudi kudai ardhi yao kutoka kw wakulima.wameamua kuanzisha vita nawakulima
 
Da! nimesikiliza tbc n wataturu wanadai ardhi yao ya mababu zao.du noma wameua kikatili sna nakuchoma nyumba zawakulima
 
Da! nimesikiliza tbc n wataturu wanadai ardhi yao ya mababu zao.du noma wameua kikatili sna nakuchoma nyumba zawakulima

wamechungulia na kuona kuwa kuvunja sheria tanzania sii kitu kikubwa kihiiiiivyo.
 
Huu ugomvi kati ya wafugaji na wakulima ni lini utaisha!
Watu wanapoteza maisha kila kukicha.
 
Tukio linatisha hawa Wafugaji ni hatari kuna babu kapigwa Panga la kichwa na ana siku 3 kaokotwa akiwa mzima ila donda lina funza Kichwani Serikali Tanzania tumepoteza sifa ya Kisiwa cha Amani mambo hayana tofauti na Afrika ya Kati kwa Anti-Balaka.
 
Tatizo mnapiga kelele za bure katiba ya nchi yetu haiwatambui wafugaji ndio maana kila siku wafugaji wanaonekana ni wava mizi wa ardhi.
 
Tatizo mnapiga kelele za bure katiba ya nchi yetu haiwatambui wafugaji ndio maana kila siku wafugaji wanaonekana ni wava mizi wa ardhi.
Ufugaji wa kurandaranda umepitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom