davidson689
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 646
- 158
Hihihihihi yaani sasa hivi toka wameanza hawa jamaa wa UKAWA kila kitakachosemwa kikiwa against them unaonekana huna akili mvuta bangi jamani ndugu zangu kwani hao wanaounda UKAWA wao ni MUNGU kwamba they are always right ifike wakati tuwekwe wazi is there any else behind this ambacho tutafaidika wote watanzania apart from what they are always talking. Mimi nasema kwenye maandamano ni haki yetu sote kikatiba katika kushinikiza maslahi ya wote lakini sio kila kitu cha UKAWA tulaimishane ni sahihi, maoni na maswali juu masuala ya UKAWA yatujengee uelewa na ujasiri na sio kulazimishana kuelewa ilhari kuna visiri.