Mengi na gesi ya Mtwara

Mengi na gesi ya Mtwara

Iwaamini wazawa? Nyerere alitaifisha viwanda na akajenga vingine vipya akaanzisha na mashirika ya umma kibao, yako wapi? si aliwakabidhi wazawa?

Dunia ya sasa si kama ya Nyerere, ya kupewa tu na kujaribiwa kama utaweza au huwezi, dunia ya leo unawekewa vigezo, umeviweza unaambiwa haya chukuwa eneo kafanye kazi, umeshindwa vigezo utaweza kweli kuifanya hiyo kazi? Maawee!

Hebu lamba laiki yako kwakweli
 
Dada FF, swali lako siyo sahihi, atachimba na kucha kivipi?! Kama fund anazo,wataalam na vifaa atakuwa navyo! Tuache kukariri kuwa wawekezaji lazima wawe wa nje, hii ni mentality mbaya! Angekuja mzungu na hela kama za Mengi angepewa fursa. Ifike mahali tuthamini Watanzania wenzetu ambao wana fursa.

Hydrocarbons exploration ni kama unacheza pata potea na siyo mtu kukurupuka tu na kusema ana vgezo kumbe hana na huchukua muda si chini ya miaka 8 kutafuta tu,,hapo bado hujapita stage zingine kama vile appraisal na development b4 hujaanza production na stage hizo zote ni mabilion ya dola so cyo ktu simple ka tunavofikiria,,,,unaweza ukafanya exploration halaf ukatoka kapa na ikawa hamna hydrocarbons na mwisho wa siku ukafa maskin tu na hasara juu
 
Huko nako ameshaenda danadana tu we unadhani mpaka analalamika huko hajafika? Na kilimanjaro hotel alitakiwa aende TPDC pia? Wamezidi kumfanyia chuki huyu bwana mpaka watu wa kawaida tunastuka

Kama ameenda basi hajakidhi vigezo
 
You dont know what you are saying. Hizo ndo unaona hela za kuwekeza kwenye gesi

Aksante kwa kumsaidia mkuu akatafute mtu mwenye taaluma kidgo tu kuhusu hydrocarbons aone stages zile za exploration hadi production ni avrg ya miaka mingapi na ni gharama gan znatumika hapo
 
Amepewa vingapi ameishia kuuza na kufanya udalali na kudanganya watanzania kwa misaada ya pipi. Kuwa makini na unacho danganyiwa kili kitu niko wazi Kwanini asiende kuchukua kitalu? Anaishi kulalamika kwenye media.
 
Back
Top Bottom