Recent content by thesolomon

  1. T

    Baby boy born with qur an

    sikio la kufa halisikii dawa, ukishabandikwa muhuri hata ufanyeje kamwe hutotoka katika imani potofu
  2. T

    Computer Engineer, looking for a job!

    wewe utakua umesoma elimu ya jioni ,hata kazi ya kusafisha vyoo hustahili kupewa upeo wako ni mdogo sana ,kichwa chako cha habari hakiendani kabisa na mada utafikiri mtoto wa shule ya vidudu
  3. T

    Nssf

    Acha uzushi wewe ,bado oral interview hawajaita wakiita utasikia tuu mdogo wangu usikilize upuuzi wa huyu jamaa hajui alitendalo
  4. T

    kazi za ict na computer plz hizi hapa

    ok walioapply hii kazi kma mmewaona wajinga basi leo j3 na j4 wataitwa kwa interview na watajionea ni kampuni kubwa kwa kuanzia maisha ambayo itawasukuma kupata kazi nyengine badae
  5. T

    kazi za ict na computer plz hizi hapa

    hii yahoo address ni ya kwangu mimi ambaye nimepewa kazi ya kuwatafuta hawa watu kampuni haikutaka kutangaza kwa vile wananiamini naweza kuwapatia good candidates ,mkishanitumia mimi cv zenu nitaziselect na hao ndo wataofanyiwa interview ,of cause that 250000 is the first figure but can be...
  6. T

    kazi za ict na computer plz hizi hapa

    kaka believe me kuna watu wana masters zao wengi wameamua kuvolunteer ili wapate experience na hawalipwi hata senti tano ,wewe chukulia hii ni sehemu yako ya kuanzia kazi upate experience na kwa vile ni kampuni kubwa ni rahisi kuonekana na makampuni mengine yenye kulipa zaidi,believe me kampuni...
  7. T

    kazi za ict na computer plz hizi hapa

    mwenye shida ya kazi hahoji sana ,cv ngapi unatuma na zinapotea bila ya kujua ,kama kuna mtu anainterest basi atume na atakayedharau huyo basi kazi anayo ,believe me this job is true and is from the biggest security company you know in tanzania.
  8. T

    kazi za ict na computer plz hizi hapa

    of cause hatukupenda kuweka jina kwa sasa ila kampuni ipo Dar esalaam na mwenye interest atume application zake ,is international company dealing with security however the job is office job dealing with data entry and other tasks,is a good place to gain your experience.
  9. T

    kazi za ict na computer plz hizi hapa

    Tunatafuta vijana wa kufanya kazi katika kitengo kimoja wapo cha kampuni yetu . awe na degree ya ict au computer or advanced diploma but even diploma can send their applications. but salary is around 25o,000/ for succesful candidates. we need 3 guys who will be under probation period of 6...
  10. T

    CUF yakanusha kadi kurudishwa!

    nyie semeeniiiii na kibaraka wenu hamad rashid lakini cuf twasonga mbele
  11. T

    Post za tra

    acha uzushi kijana hata shortlisting bado hizo nafaci nazifatilia kwa karibu sana na wakishortlist tutataarifiana ,ongea kitu chenye uhakika usiwadanganye wadau
  12. T

    (social protection) kwa nini vigumu kupata ajira

    mkuu kumbuka katika hii mifuko si tuu hao watu wa protection ndo wanahitajika bali hao watu ni wachache mno wanahitajika na katika vitengo vichache ambavyo wanahitajika kazi zao pia ni rahisi na zinaingiliana na watu wenye fani nyenginezo,mfano shirika kama nssf lina directorate tofauti kama...
  13. T

    Hamad Rashid Kulindwa na FFU kwao Wawi Pemba; hii inamaana gani kisiasa?

    kuweni wapevu kisiasa maalim seif na pinda ni viongozi wakuu wa serikali wana haki ya kulindwa na kupigiwa vingora kama ilivyo taratibu zetu za nchi,mbunge hana prevelage hio hii inaonesha wazi kwamba huyu ni kibaraka wa ccm na huo mkutano uliandaliwa kwa hela za ccm kama ambavyo walikuwa...
  14. T

    Dereva mzoefu anapatikana

    sasa mkuu umeanza tuu namba ya simu umepoteza ukipewa gari si utaliangusha tuu ukipewa,any way tumekuelewa mkuu tutajitahid kukusaidia panapowezekana
  15. T

    Kazi za afya 488

    wazushi tuu hao walionao wanashindwa kuwalipa migomo kede kede sasa wanapoajiri wapya hela watatoa wapi!
Back
Top Bottom