Dereva mzoefu anapatikana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dereva mzoefu anapatikana

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mgengeli, Feb 1, 2012.

 1. M

  Mgengeli Senior Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwenu wanaJF najitokeza kwenu nikitafuta kazi ya udereva,ninaendesha semi na puling na magari mengi isipokuwa bus,mara ya mwisho nilikuwa naendesha gari ktk kampuni ya HASSAN Transport,ninao wadhamini wa kuaminika,ninaishi Dsm kiwalani,No yangu 0717327062
   
 2. M

  Mgengeli Senior Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niwie radhi namba ya simu niliandika si sawa namba sahihi ni 0717326072 au 0759363797
   
 3. t

  thesolomon Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa mkuu umeanza tuu namba ya simu umepoteza ukipewa gari si utaliangusha tuu ukipewa,any way tumekuelewa mkuu tutajitahid kukusaidia panapowezekana
   
 4. M

  Maengo JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhan hii post kawekewa na ndugu yake maana mtu huwez kukosea namba yako! Yy binafsi sio memba bali hiyo ID ni ya ndigu yake! Sio ishu tumeshamzoom.
   
Loading...