Computer Engineer, looking for a job! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Computer Engineer, looking for a job!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by The_Emperor, Apr 17, 2012.

 1. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamani nauliza hivi kwa aliyesomea computer engineering anaweza kupata kazi sehemu au kampuni gani?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  kichwa na mwili wa thread yako haviendani hata chembe....una maanisha nini....?
   
 3. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kichwa cha habari kama hicho kinavutia watu,au hujui jinsi ya kuwateka watu?
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Halafu eti mtu kama huyu hapa ndio anamshawishi muajiri ampe ajila!!......labda kazi ya kulinda mageti, dunia ya leo kama Communication skills inakushinda basi hata uwe msomi vipi hatokuwa na tofauti na yule Mbunge wa CUF Mwalusamba.
   
 5. t

  thesolomon Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe utakua umesoma elimu ya jioni ,hata kazi ya kusafisha vyoo hustahili kupewa upeo wako ni mdogo sana ,kichwa chako cha habari hakiendani kabisa na mada utafikiri mtoto wa shule ya vidudu
   
 6. Myelife

  Myelife Senior Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wewe hustahili motoni wala peponi
   
 7. KML

  KML JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  anaweza kupata sehem nyingi tu...ila kwa wewe labda ukaombe kazi alioiacha millya
   
 8. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kwa Gear uliyoingia nayo ....(heading..) bora nikupishe.....
   
 9. j

  jobseeker Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona unatupotezea muda wetu hapa? kwa nini unaweka heading ya udanganyifu? kwani ungeliweka ya ukweli unadhani usingelijibiwa au watu wasingelisoma thread yako?
  Umeniudhi sana kiasi hata sitaki kusema mengi, lakini kwa tabia hiyo ya uongo unadhani ni nani atakaekuajiri? unongo mdogo mdogo kama huo ndio mwishowe unakuwa mzoefu wa kudangaya watu, tabia ambayo hakuna anaeipenda. Badilika ndugu.
   
 10. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Waajiri wengi wanaamini Engineering ni Civil, Electrical/Electronics na Mechanical and the like. Hizo za kupatia kwenye meza mbele ya computer are not considered as Engineering. Sema kazi ya computer support, kutandaza network cables, kuconnect mouse, kupita chini ya meza etc
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Kwa title uliyoweka na body tofauti sidhani kama mtu atashawishika kukuajiri maana ataona ni tapeli tu.
   
 12. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [h=2]Mbona hueleweki Computer engineer anahitajika haraka! au wewe ndio unatafuta kazi? kuwa muwazi acha unafiki.[/h]
   
 13. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uwateke watu au upuuzi huo? Mods futa taka taka hiyo.
   
 14. j

  jobseeker Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu mbona hapo nimeshindwa kukufahamu? kupatia kwenye meza ndio nini? unaposema not considered as engineering, ni nani hao wanao consider hivyo? unasema hayo kwa jinsi ya level ya matumizi ya computer system nchini Tanzania au ulimwenguni kote? Jee umewahi kuangalia maana ya Computer systems engineer? Jee unajua kuwa computer engineer ana research, design, develop, test, and oversee the manufacture and installation of computer hardware, including computer chips, circuit boards, computer systems, and related equipment such as keyboards, routers and printers?

  Duniani kote wanajulikana kama ni computer systems engineers, kwa nini wewe unakataa kuwa hawa sio engineers?
   
 15. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  haya Bongo hayafanyiki mkuu...
   
 16. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Kaulize Engineers Registration Board watakupa majibu who is an engineer.
   
 17. a

  ammui Member

  #17
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eng.ni zaid ya technician.mi kdg nimegusagusa huko, nawajua vzr hao watu, twende tukajaribu barric african mine kule buzwagi
   
 18. j

  jobseeker Member

  #18
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa nini niende huko ilhali kuna mtu hapa hapa kathubutu kusema kuwa hakuna computer engineers?
   
 19. j

  jobseeker Member

  #19
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Computer engineering, also called computer systems engineering, is a discipline that integrates several fields of electrical engineering and computer science required to develop computer systems.[SUP] [/SUP]Computer engineers usually have training in electronic engineering (or electrical engineering), software design, and hardware-software integration instead of only software engineering or electronic engineering. Computer engineers are involved in many hardware and software aspects of computing, from the design of individual microprocessors, personal computers, and supercomputers, to circuit design. This field of engineering not only focuses on how computer systems themselves work, but also how they integrate into the larger picture.[SUP][/SUP]


  au unataka upatiwe na tafsiri pia?
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Humu watu wengi wapo kukatisha watu tamaa sio kusaidia.

  Mm nakushauri nenda maeneo haya.

  1. Dell Service Center (Redington)
  Wapo second floor swiss tower Upanga CV mpe Mr. Anoop
  2. Opposite wao kuna HP Service Center
  3. Au Orange Technology Mtaa wa India. Ukipata kazi fanya kwa bidii usiombe tena humu!

  Mungu atakusaidia
   
Loading...