(social protection) kwa nini vigumu kupata ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

(social protection) kwa nini vigumu kupata ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by samkarume, Feb 4, 2012.

 1. s

  samkarume Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 19
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 5
  Hii ni kozi iliyoanzishwa mwaka 1986 katika chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) wakati huo ikitwa social security na sasa imebadilishwa mwaka 2005 na kuwa social protection sasa lengolilikuwa kuweza kupunguza gharama za kuwatumia wataalamu wa nje katika masuala muhimu na nyeti yanayohusu hifadhi ya jamii, masula hayo ilikuwani pamoja na ku set michango ya wanachama, kufanya ubashri wa hifadhi ya jamii kwa kiaka ijayo (acturial projection) kupanga kiasi cha malipo ya uzeeni ya mkupuo (lumpsum payments) na pensheni

  sasa toka mwaka 1985 mpaka 2011 wapo wananchuo waliofuzu vizurui na kupata ajira kwa ajili ya kuisadia jamii katika sekta hii nyeti, lakini kuna mambo mawili yakusikitisha
  1.wengi wa waajiri hawaelewi nini maana ya social protection na kama wanaelewa basi kwa kidogo sana na wale walioko katoka sekta binafsi wanaogopa wakikuajiri utawabumbuluw wafanyakazi kuhusiana na umuhimu wa social securty

  2. baadhi ya mifuko ya hifadhi ya jamii imejaa ukiritimba wa wazi kuna mambo kama udini vinalalamikiwa, misllocation of proffessionalism unakuta mhandisi anapewa kuongoza hifadhi ya jamii, mamifuko yamejaa wahasibu, wasimimizi wa biashara, watu wa ustawi wa jamii inaumiza sana na wanawekwa kweye vitengo ambavyo havina mahusiano na taaluma zao

  lini hali hii itakwasha jamani inaudhi na inaumiza sana
  kwa wafuatiliaji check article yangu kwemye website ya watanzania wanaoishi denmark TANDEM
  siku njema wadau
   
 2. M

  Maengo JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh, mbona unantisha mkuu? Watu wengi wamekuwa wakiniambia kuwa hii kozi ni mali sana siku hizi, sasa hadith yako kidogo inanichanganya.
   
 3. p

  prindi Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kweli wa2 hawa wako kitaa na ukikuta kaajiriwa jua yuko bank na kwingineko inauma wa2 wapoteza miaka 3 then wanafanyakaz unproffesional inatisha
   
 4. t

  thesolomon Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu kumbuka katika hii mifuko si tuu hao watu wa protection ndo wanahitajika bali hao watu ni wachache mno wanahitajika na katika vitengo vichache ambavyo wanahitajika kazi zao pia ni rahisi na zinaingiliana na watu wenye fani nyenginezo,mfano shirika kama nssf lina directorate tofauti kama vile finance ambayo imegawanyika treassury na accounts,treassury wanahitajika zaidi wana uchumi na watu wa finance ,accounts wanahitajika watu wa accounts na pia hat business administration,Directrorate of Planning and investment wanaohitajika ni maengineer,na watu wa finance au business waliosomea pia management,Directorate of information technology wanahitajika Computer science ,iT and IcT ,Directorate of Human resource kama inavyojieleza ni human resource au business admin,public admin,nk ,Directorate of operation hii imegawanyika katika statistic,acturial nk,hii inabeba taka taka zote no matter what course unaweza kufanya kwa ufanisi na watu wa acturial ni wachache tuu na hawana ulazima,Directorate of Procurement kama kama watu wa material management and supply,mkuu hizi course ambazo ziko very specific katiak maeneo flani zinasumbua sana kupata kazi ila ukiwa na course ambazo ni multipurpose kama business admin au management ,accounting or finance chance ni kubwa ,vumilieni ndugu zangu lakini hali ni ngumu ukichukulia mifuko ni michache tanzania na ina ushindani sana katika soko la ajira.
   
Loading...