kazi za ict na computer plz hizi hapa

thesolomon

Member
Oct 25, 2011
35
5
Tunatafuta vijana wa kufanya kazi katika kitengo kimoja wapo cha kampuni yetu .

awe na degree ya ict au computer or advanced diploma but even diploma can send their applications. but salary is around 25o,000/ for succesful candidates. we need 3 guys who will be under probation period of 6 months.

ni sehemu nzuri kwa kuanzia kazi na kupata uzoefu ni kampuni kubwa na yenye kujuilikana international japo kuwa mshahara sio mzuri sana ila unaweza kupanda kulingana na uwezo wako wa kujituma .

mazingira mazuri ya kazi za ofisini wewe na computer yako .

tumeni cv na certificates kwa email hii hapa as soon as possible thesuley@yahoo.com,interview will be done on monday 27 feb and tuesday 28 feb buy you will be notified of where about if you will be shortlisted

kila la kheri
 
Kampuni haina jina,
No physical address,
Kwa kifupi tangazo lako linaacha maswali mengi yasiyo na majibu funguka mkuu!
 
of cause hatukupenda kuweka jina kwa sasa ila kampuni ipo Dar esalaam na mwenye interest atume application zake ,is international company dealing with security however the job is office job dealing with data entry and other tasks,is a good place to gain your experience.
 
Kuna sababu zozote za kutoweka jina ukiondoa kutokupenda?

Nani anahakika na privace ya CV yake mpk aitume kwa mtu ambayo yeye mwenyewe anahold ID yake na anatumia YAHOO address?
 
mwenye shida ya kazi hahoji sana ,cv ngapi unatuma na zinapotea bila ya kujua ,kama kuna mtu anainterest basi atume na atakayedharau huyo basi kazi anayo ,believe me this job is true and is from the biggest security company you know in tanzania.
 
Mtu mwenye degree ya ICT mshahara 250,000/=, hayo ni matusi ndg yangu yaribuni kuangalia maisha yalivyo magumu na huo mshahara

Umeshaambiwa ni sehemu ya kwenda kuongezea ujuzi, kama hutaki si unakaa nyumbani tu mkuu, soko huria hili, kuna watu hata hiyo laki mbili u nusu hawaioni na madigrii yao. siku hizi waajiri wengi ndio hivyo mpaka upate experience bana.
 
kaka believe me kuna watu wana masters zao wengi wameamua kuvolunteer ili wapate experience na hawalipwi hata senti tano ,wewe chukulia hii ni sehemu yako ya kuanzia kazi upate experience na kwa vile ni kampuni kubwa ni rahisi kuonekana na makampuni mengine yenye kulipa zaidi,believe me kampuni nyengine za security nafasi hii wanalipa mpaka laki nane kwa kuanza ila uwe na experience so hii ni golden chance ,wabongo tushazoea kudanganyana tukiwa vyuoni eti tukimaliza tuu mshahara milioni

fanyeni application
 
Uko biiiize unaomba watu watume, mmmh!

Una lako jambo. The biggest security company inayotumia yahoo address?!!!

Kitu pekee hapo kinachoresemble security company za Tanzania ni huo mshahara na ndio maana walinzi wapo bize kuosha magari na kuombaomba magetini. Kama wanakusudia kumlipa 250,000 mtu mwenye degree, sipati picha ndugu yangu mwenye kushika kirungu kufungua mageti anapewa elfu ngapi.

Waambie Bumpkin Billionaire amesema muwe na utu angalau wa 'kichina'
 
hii yahoo address ni ya kwangu mimi ambaye nimepewa kazi ya kuwatafuta hawa watu kampuni haikutaka kutangaza kwa vile wananiamini naweza kuwapatia good candidates ,mkishanitumia mimi cv zenu nitaziselect na hao ndo wataofanyiwa interview ,of cause that 250000 is the first figure but can be negotiable depending on hw he can express him/her self
 
thesolomon kwa mentality hiyo itakufikisha pabaya. Usipohoji na kurukia kazi tu utajikuta unafanywa mtumwa mchana! usifikirie kila mtu ni mwema na ana malengo mazuri kutangaza kazi hapa. sisemi kama aloleta tangazo hapa ana lengo baya lakini ninachosema unaposoma tangazo na ukaona halikukaa sawa uliza ufafanuliwe.
 
hii yahoo address ni ya kwangu mimi ambaye nimepewa kazi ya kuwatafuta hawa watu kampuni haikutaka kutangaza kwa vile wananiamini naweza kuwapatia good candidates ,mkishanitumia mimi cv zenu nitaziselect na hao ndo wataofanyiwa interview ,of cause that 250000 is the first figure but can be negotiable depending on hw he can express him/her self

Nilikuwa nataka kuhoji matumizi ya yahoo account, lakini mara nimeona maelezo yako. Hata hivyo naona pia post za mwanzo mwanzo umesema "kampuni yetu" nikifahamu either unafanya kazi hapo au una share kwenye hiyo kampuni. Lakini sasa unasema kuwa wamekupa hii kazi ya kuwatafutia candidate kwa sababu wanajua kuwa utawapatia good candidate.

Jee ndugu nini hasa kazi yako? are you working for recruitment agency? Unategemea kupata mgao wako kutoka kwa mwajiri? jee una hakika 250,000 ndizo aloahidi muajiri au ushakata zako nyengine kwa muajiriwa?
 
hii yahoo address ni ya kwangu mimi ambaye nimepewa kazi ya kuwatafuta hawa watu kampuni haikutaka kutangaza kwa vile wananiamini naweza kuwapatia good candidates ,mkishanitumia mimi cv zenu nitaziselect na hao ndo wataofanyiwa interview ,of cause that 250000 is the first figure but can be negotiable depending on hw he can express him/her self

Kwa hiyo hii ndio namna ya kuwapata good candidates! Makubwa haya.

Nafikiri kama kuna mtu aliyesoma HR Management angekusaidia ushauri mdogo tu; uache kuingilia fani za watu.

Hiyo kampuni iliyokutuma ambayo haikukupa hata job description na qualifications za candidates kiasi unaungaunga kwa mawazo yako ni kampuni ya namna gani?

Kuna jambo gani nyuma ya ajira zao kiasi wakutume na wao wasipende kutangaza?

Sikiliza dogo; kama una shida ya kuandika CV au format zinakusumbua ingia kwenye google utapata sample kuliko kusumbua watu wazima kukutumia wewe (just an individual) CV zao eti uwape kazi. Sidhani mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kuanzisha kampuni na kuiita esteemed halafu hii ndio ikawa namna yake ya kupata wafanyakazi.

Eti wenyewe hawakutaka kutangaza; no doubt wanaona aibu kusema hiki kioja cha 250,000 kwa hiyo wamekutuma wewe usiyejua unaongea nini uje utest response ya wananchi
 
Kwanza sijaona logic kwanini kampuni haitaki ku disclose jina lake kwa sasa??? why?? lazima ina reputation chafu hivyo wanajua watu wanaweza wa si apply. Kama kampuni yako ni kubwa na ina reputation basi they don't need to hide anything, infact every one would be interested to work with reputable and multinational company.

Hivyo nashauri vijana msi apply kabisa ni bora uendelee kuchomka korosho zako nyumbani
 
Unajua waajiri wengi wanafikiri ni ujanja kuwalipa watu mishahara ovyo kwa sababu hali ni ngumu TZ lakini long term hili lina madhara makubwa kwa sababu watu watakuwa wanakimbia hiyo kampuni as soon as possible, inabidi uingie gharama za kutafuta watu wapya na kuwatrain kila siku.
 
of cause hatukupenda kuweka jina kwa sasa ila kampuni ipo Dar esalaam na mwenye interest atume application zake ,is international company dealing with security however the job is office job dealing with data entry and other tasks,is a good place to gain your experience.

Kama ni data entry hiyo haiitaji degree wala diploma, tafuta vijana hata wa high school wawe wanapiga part time.
 
is international company dealing with security however the job is office job dealing with data entry and other tasks,is a good place to gain your experience.

Hivi data entry inahitaji degree kweli? Hiyo si inahitaji tu kaprogrm kaku- automate process. Yaani hata mtoto wa darasa la saba anaweza kutengeneza ka-macros kakufanya hivyo bila ya kuajiri mtu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom