Recent content by Thesis

  1. Thesis

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Unahitaji SmartBusiness hivi sasa kwenye biashara yako?

    Mkuu, hii app yako bado ipo?
  2. Thesis

    JamiiForums Tanzania Natafuta Data Collectors Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida

    Tuma mawasiliano yako private message
  3. Thesis

    JamiiForums Tanzania Natafuta Data Collectors Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida

    Thanks Kidudu. Mawasiliano tuma private message
  4. Thesis

    JamiiForums Tanzania Natafuta Data Collectors Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida

    Habari, Nina kazi ya kukusanya data kwa wakulima wa alizeti katika Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida. Natafuta jumla ya vijana sita waliomaliza degree lkn hawana ajira kwaajili ya kukusanya data katika maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo. NOTE: MUHUSIKA AWE ANAPATIKANA WILAYA YA IRAMBA Malipo...
  5. Thesis

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Upo sahihi kabisa. Nani kama mama ni msemo wa kipuuzi, huwezi ku-generalize.
  6. Thesis

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Nakubaliana na wewe kabisa, Nani kama mama ni msemo wa watoto. I have seen my father suffer, I have seen him stressed for his family. Wazazi wote wana thamani sawa. Exception ni chache sana ambazo baba alikimbia/alikwepa majukumu
  7. Thesis

    JamiiForums Tanzania Mwanamke usibebe mimba kama huna 1.5M uliyoi-save kama akiba ya dharura mwenyewe

    1. Huduma umepata halafu hutaki kulipa, We unaona ni sawa? Kufa kwa mtoto baada ya kujifungua chimbuko lake si kukosa pesa, bali ni changamoto za uzazi au mtoto aliyezaliwa kuwa na changamoto kama vile kisukari cha kurithi n.k. 2. Kama ingekuwa pesa ndio chanzo cha kujifungua salama nadhani...
  8. Thesis

    JamiiForums Tanzania Mnaotafuta kazi serikalini, zingatieni hili mtanishukuru

    Hili suala lako wakati ajira zote zipo chini ya sekretarieti ya ajira halikuwepo kabisa. Mimi binafsi sina connection na yeyote na uongozi wala si mwanachama wa chama chochote cha siasa lkn nilipata kazi ofisi nzuri tu ya serikali. Kwa sasa hivi kwa mfumo wa taasisi kuajiri zenyewe utaleta...
  9. Thesis

    JamiiForums Tanzania Life begins at 40 Vs Midlife crisis

    Umeongea ukweli. Kiukweli kabisa kwa pato halali kwa kundi kubwa hapa bongo bila 50+ hutoboi
  10. Thesis

    JamiiForums Tanzania Wahehe waliwahi kuwa kabila lenye ushawishi na nguvu kubwa nchini. Ni kitu gani kimepeleka anguko lao?

    Wahehe shida yao kubwa ni kutobebana kutokana na tabia zao za kufuata ethics za kazi. Mhehe anapenda sana kuheshimu sheria, kanuni na miiko iliyowekwa. Pia mhehe, ana "umimi", kupenda aonekane yeye kama yeye. Sifa nyingine ya Mhehe ni mtu anayeweza kuaminika.
  11. Thesis

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

    Aliyekwambia na yeye kaambiwa. Yaan ni uzushi juu ya uzushi
  12. Thesis

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

    Ni kweli UDOM unapewa Supervisor wawili
  13. Thesis

    JamiiForums Tanzania Ni mkakati wa kumuangusha Rais Samia kisiasa?

    Hii ni hisia, huna ushahidi
  14. Thesis

    JamiiForums Tanzania Kujenga ukiwa tayari una familia si mchezo

    Kwa mshahara pekee wa Ofisa wa kawaida Serikalini (Halmashauri na Wizarani) ambaye hana madaraka ya ukuu wa Idara kufikia mshahara take home 1.3 ni umekaa not less than 15 years. Kwa pato hilo pia majukumu, inabidi ujenge nyumba ya kawaida sana laaa sivyo kazi unayo, unaweza usimalize
  15. Thesis

    JamiiForums Tanzania Je, kwa Tsh Milioni 40 tu GENTAMYCINE 'nikijibanabana' naweza Kuitumia Kukamilisha yafuatayo?

    Inategemea ukubwa wa nyumba. Ila kwa nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na dining, Hiyo hela utaishia kwenye kukamilisha boma lililoezekwa, kuwekwa magrili, kuwekwa mfumo wa awali wa umeme na maji. Kwenda zaidi ya hapo, sidhani.
Back
Top Bottom