Recent content by therocky

  1. therocky

    Naomba kujuzwa App nzuri za Elimu kwa watoto wa miaka 2-5

    Wakuu kwema? Kwa wenye watoto wadogo miaka 2 mpaka 5 ni application gani nzuri unatumia kwa ajili ya mwanao? Kwa maana kwa zama hizi za tech mtoto huwezi kumzuia moja kwa moja kutumia simu kwa hiyo angalau akishika smart phone yako kuwe na kitu cha msingi anaangalia na kujifunza. Kwahiyo...
  2. therocky

    Mafuta yenye ubora kwa gari yako

    Sawa. Sasa hizi station huwa zinaandika kama ni premium au vipi.?
  3. therocky

    Mafuta yenye ubora kwa gari yako

    Habari wadau. Kuna kitu huwa kinanitatiza kuhusu ubora wa mafuta ya gari kwenye vituo vyetu. Je hivi vituo (petrol station) zina mafuta yenye ubora sawa au kuna ambao mafuta yao yana mapungufu? Maana kuna vituo wanauza bei ndogo sana ukilinganisha na wengine, kingine Unaweza weka mafuta sehemu...
  4. therocky

    Nimeachana na mpenzi kisa Facebook

    Hivi unajua wanaume tuko wachache sana dunia hii? Kuna aliye bora kuliko huko wa fb..
  5. therocky

    Kwanini ndege huyu ameitwa ndege mwaarabu?

    Huyo kwetu tunamuita 'kimilanzoka' [emoji1]
  6. therocky

    Daktari bingwa wa mifupa

    Habari wana JF. ninaomba yeyote anayejua daktari wa mifupa anifahamishe tafadhali miguu ndio inasumbua, au hospitali ambayo nitapata matibabu mazuri. Kuna daktari nimeelekezwa pale Muhimbili ila schedule yake ni ngumu sana appointment yake ni zaidi ya wiki mbili ndio umuone nami nahitaji...
  7. therocky

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Kuna moja inaitwa peel smart iko vizuri sana, ninaitumia
  8. therocky

    Vituko vya mama mjamzito

    Asante sana
  9. therocky

    Vituko vya mama mjamzito

    Habari wana jamvi Kuna hili swala ambalo najua sio geni miongoni mwenu na pia nimelisikia kwa muda toka muda mrefu achilia mbali kulishuhudia. Ni kuhusu mama mjamzito anapopata tu hiyo mimba basi anakuwa na tabia tofauti na alizokuwa nazo awali, mathalani kupenda chakula cha aina fulani au...
  10. therocky

    Nahitaji mtu wa kuniletea mchele kutoka mkoani kunzia tani 2 na kuendelea

    Katoa namba so kama uko serious mnamalizana huko,, hapa mara tapeli utajichanganya bure.
  11. therocky

    Kwanini wanaume ndio hutawala tendo la kula uroda?

    [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  12. therocky

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Wakuu anayejua app nzuri ya free nayoweza kusikiliza na kudownload audio books anijuze.. Isiyo trial
Back
Top Bottom