Nape bwana asifiwe najua wewe ni mpendwa mwenzangu siasa isikutenganishe na mungu kwa kufanya mambo kinyume na ukristo ni kweli mamboni magumu na kusema dokta feki da nape nidhambi chunga au uchague umaarufu na pepo haya
Wapenda kama kijana ninayejua kidogo siasa napenda kusema hakuna mtu asiyeruhusiwa kujiunga na chama chochota cha siasa kwa sababu ametoka chama kingine sasa mimi nawasha ngaa sana watu wanao mkataaa millya kwanza ni kijana anayejiaamini sana kutoka magamba jamaini si kazi rahisi hata lowasa...
Si malaya? hapo alikuwa kibiashara zaidi, ni mambo ya short time hayo, ndiyo maana kamuua Kanumba! labda walishindwana bei! malaya anakuwa nawe halafu unamzuia kuongea na bwana mwingine si lazima pachimbike hapo?
Watanzania bwana! yaani ugumu wa maisha hauwajalishi wanapoteza fahamu sababu ya maigizo! Hii nchi ilitakiwa iwe kwenye sayari nyingine Waallah! sijui ni mwenge unatupumbaza au?:shetani::shetani::shetani:
Nape kama kuna kijana mwanasiasa alikuwa wa ccm alikuwa anaanzakuheshimika alikuwa ni wewe hasa kupambana na nec ila kwa hili la arusha ndugu yangu litakuaipisha mwana serous we tulia ila arusha napajua ni pabayaa sana nilikusikiliza pale makumira alafu nikalinganisha na ulivyo kubalikushindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.