CHADEMA yaandaa mapokezi ya kifalme kwa Millya

Wapenda kama kijana ninayejua kidogo siasa napenda kusema hakuna mtu asiyeruhusiwa kujiunga na chama chochota cha siasa kwa sababu ametoka chama kingine sasa mimi nawasha ngaa sana watu wanao mkataaa millya kwanza ni kijana anayejiaamini sana kutoka magamba jamaini si kazi rahisi hata lowasa anaweza kujiunga na cdm kwa mtu c utoka gizani kwenda uzimani

millya pravooooooo

katibu mwenzi cdm-jamiiforum

theotim valerian
 
ufalme wa ole millya unatokana na nini hasa?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

hata mimi nashangaa kama ni mtego basi cdm imeuingia kichwa kichwa ni ajabu kwa cdm kumfurahia mtu huku wakiwa hawana uhakika kama kweli mtu huyu ni mpigananji wa kweli au spy tu?

Huyu samaki yungali mbichi anakunjika. Akiharibu anatimuliwa tu.

This is a calculated move.
And CDM is well aware of a number of possibilities.
There is a lot of political gain for CDM.
Haya mapokezi ni ya muhimu sana.
 
Kaka daima epuka kuchulia maissue kama haya kirahis, pamoja na yote, Mtu anaweza toka magamba kuja CDM kumbe gamba lake bado halikutoka tawavuruga wakati mnajiandaa kutegua ngome 2015!!!!!.

Tun ataka Majembe Original kama Lema ambaye Magamba walimtaka agombee mara kadha kwa bendera yao akasema nOOOOOOOOOOO!, Akakubari kupigika na watanzania mpaka kikaeleweka japo wamehujum tena.
Sasa huyu Milya, Aweza kuhimiri Mabilion ya Magamba??????
asijeyakwanyua na kuitupa bendera ya CDM mtaroni??????.

Be very careful!!!!!!
 
hakika kazi yake kubwa ni kuhakikisha Ole Sendeka 2015 analiona bunge kupitia Luninga,ukombozi unaanzia Simanjiro na hapo ndo anapopewa kadi ya uanachama na wafuasi toka CCM wasiopungua 5,000.

Karibu jembe,Ole Sendeka kiti mjengoni kinabana.
 
CDM Hapa tuwe makini kuliko saizi ya kawaida tusije wekewa kanyaboya tu,Somo alilotupa Shibuda litusaidie kwa Milya tusijikuta tunarudi tena Misri badala ya kwenda Kaanani. otherwise poa tu
 
Ole millya umefanya jambo la busara na la maana sana unapaswa kupongezwa,mpendwa punda unaweza kulazimisha kwenda mtoni hata kwa viboko lakini huwezi kumlazimisha kunywa maji.
Umejitahidi kadri uwezavyo kufanya hivyo kwa ccm lkn hawakukuelewa,
kumbuka yale yaliyotokea monduli chuo cha ualimu,
zilikuwa harakati za wewe kukomboa ccm,wao walikataa.
Ushauri wako mwingi uliwapa wameukataa,
maamuzi uliyoyachukua ni mazuri sana.
Angalizo;
tuna hakika hujatumwa na ccm kuhujumu cdm,tuna hakika wewe sio kibaraka wa ccm bali ni mpiganaji katika jeshi la cdm katika harakati za kulikomboa taifa letu.
Ushauri:
Wale wote wanaohisi wako ccm kwa bahati mbaya na wanahisi ni wapiganaji wa haki za raia zinazopokwa na ccm njooni tujinge pamoja tuliinue taifa letu kama maandiko yasemavyo;
rushwa ni dhambi na aibu kwa taifa bali haki huliinua taifa.
Kikwete kumbuka maneno ya hayati jk nyerere,
alisema anakikubali chama cha chadema sasa ukubalifu wake unaanza kujidhihirisha;
jk soma alama za nyakati jiandae kukabidhi nchi(ikulu)
kwa chadema 2015
hatutakulaumu kuwa chama kimefia mikononi mwako bali tunautambua ukweli usiofichika kuwa mwisho wa ccm umefika hivyo hata na wewe tunakukaribisha cdm!
 
CDM Hapa tuwe makini kuliko saizi ya kawaida tusije wekewa kanyaboya tu,Somo alilotupa Shibuda litusaidie kwa Milya tusijikuta tunarudi tena Misri badala ya kwenda Kaanani. otherwise poa tu

Nani kakwambia watu hawako makini? tumpe heshima ya utu kwanza bwana millya, hakupotea njia, ujue pia kuwa naye anaakili, BINAFSI NAMPONGEZA MILLYA, NAWAAMBIA WAJUAO KUPIGA MBINDE. DONT STAY AT HOME WHILE FREEDOM FIGHTERS ARE FIGHTING, JOIN THEM. (bob mallya)
 
Ole wako Millya uwe hujavua ila umelipaka rangi gamba huku tunaona kama umelivua, saa tunakuvua hutaamini
 
Nani kakwambia watu hawako makini? tumpe heshima ya utu kwanza bwana millya, hakupotea njia, ujue pia kuwa naye anaakili, BINAFSI NAMPONGEZA MILLYA, NAWAAMBIA WAJUAO KUPIGA MBINDE. DONT STAY AT HOME WHILE FREEDOM FIGHTERS ARE FIGHTING, JOIN THEM. (bob mallya).



Cjasema kwamba watu hawako makini jombaa,Think 1000 n do once.CDM ni chama makini na hilo liko uchi wala huitaji kulivua nguo ndio utambue kwamba CDM ni machine ya watu makini, ila nachosema na nasema tena CDM kwa hili Umakini uzidi kuliko saizi ya kawaida kwani hata Shibuda alikuja kwa mbwembwe kuliko milya leo hii yuko wapi???? huo ni mtazamo wangu tu makamanda msijenge chuki tupo kwenye meli 1. Pipoooooooooooooooooooooooooooooz.
 
Nani kakwambia watu hawako makini? tumpe heshima ya utu kwanza bwana millya, hakupotea njia, ujue pia kuwa naye anaakili, BINAFSI NAMPONGEZA MILLYA, NAWAAMBIA WAJUAO KUPIGA MBINDE. DONT STAY AT HOME WHILE FREEDOM FIGHTERS ARE FIGHTING, JOIN THEM. (bob mallya)



Cjasema kwamba watu hawako makini jombaa,Think 1000 n do once.CDM ni chama makini na hilo liko uchi wala huitaji kulivua nguo ndio utambue kwamba CDM ni machine ya watu makini, ila nachosema na nasema tena CDM kwa hili Umakini uzidi kuliko saizi ya kawaida kwani hata Shibuda alikuja kwa mbwembwe kuliko milya leo hii yuko wapi???? huo ni mtazamo wangu tu makamanda msijenge chuki tupo kwenye meli 1. Pipooooooooooooooooooooooooooo ooz.
 
Ujio wake utakuwa na faida kuliko hasara

Shibuda aka mzee wa mipasho alitumwa akatumika akashindwa,sasa hivi kimyaaaa
 
"Nampongeza Millya kwa kujiunga Chadema kwani CCM hawana jipya¡*kazi zao ni kutii amri, lakini utekelezaji haupo, hivyo nimekatisha ziara yangu kwa ajili ya kumpokea Millya rasmi Chadema wakati wowote"
Kwaupande wake, Katibu wa Chademawa Mkoa wa Arusha, Amani Golugwa alisema baada ya Millya kujiunga Chadema, amepokea taarifa kutoka kwa viongozi wawili ngazi ya Mkoa wa CCM, Wilaya ya Monduli mmoja, Arumeru Mashariki mmoja na wenyevitiwa vijiji saba vya Arumeru Magharibi, kutaka kujiunga na chama hicho, lakini aliwataka wasubiri kwanza wawafanyie tathmini kwani hawako tayari kupokea hadi ¡®mayai viza¡¯.

Source;Habari leo
 
:embarassed2: Handle it with care, this parcel might contain explosives :A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom