1. Mh Lissu unaweza ukaelezea ni kwanini uchaguzi wa mwaka huu (2020) umeuita kama uchaguzi wa kufa na kupona ?
2. Moja kati ya nyimbo za kampeni zako unasema "Lissu tuvushe" kwa nadharia hiyo hiyo kwanini Lissu na sio Mtetezi wa Wanyonge John Pombe Magufuli?
3. Kauli ya "Lissu ni kibaraka wa...
Mimi Thegret mahela tatizo langu kubwa kwa
Lowassa lilikuwa ni ufisadi wa Richmond
uliotafuna zaidi ya shilingi bilion 172 za
wananchi. Baada ya kusikia kauli yake
alipohojiwa na wanahabari siku alipojiunga na
CHADEMA, na baada ya kujiridhisha kuwa kama
alikuwa amehusika na ufisadi wa...
Nilipokuwa nasoma uzi huu, nlitamani sana kulia lakini nikapiga moyo konde na kujifariji kuwa watanzania wanaoteseka kama mimi watauelewa na mwaka huu wataonesha kuwa wamechoka na mfumo mbovu wa CHAMA TAWALA(CCM).
Napenda kusisitiza kuwa kama UKAWA wataungana kwa pamoja, mwaka huu basi utakuwa...
nakuunga mkono mkuu coz tunahitaji kiongozi dikteta kidogo aisee mwenye maamuzi kamili na siyeyumbayumba na kuteteleka mwenye misimamo ya kweli lakini zaidi ya yote mwenye uwezo wa kukamata majizi majizi yote yanayoifilisi Tanzania yetu kila kukicha....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.