UKAWA unaijenga CCM zaidi kuliko kuibomoa

UKAWA unaijenga CCM zaidi kuliko kuibomoa

CCM .....ukoo wa panya wote ni wez ....mgombea wao kasema hatawaangusha maana yake ..mafisadi wataendelea kuiba....pili amasema ccm kwanza watanzania badae ...kwa hiyo lazima ccm wamuze ...ili aweze kupita waendelee kutuibia......
 
tumsamehe huyu dada hajielewi amepanik
 
we ndugu simiyu yetu unajua ukiwa na rep power 0 it means you know nothing.
 
hujui usemalooo najua dozi inawaingia vizuriii maccm...tulieni ivo ivo... msigwa ni dozi tposhaaaaa mana habari mnayoooooooooooooo
 
Tomorrow people ni kweli JPM atakuja kuwa rais bora tanzania baada ya UKAWA kumaliza vipindi viwili vya miaka mitano mitano. CCM wanawekwa kando kwanza ili wajitathmini na nkujipanga halafu miaka kumi ijayo wakijaaliwa wamsimamishe tena JPM ili aje kuwa rais bora tanzania
Juhudi kubwa zinazofanywa na UKAWA hasa baada ya ndugu Lowassa kujiunga nao... Zimesababisha CCM kuwa makini sana katika maeneo mengi. Mfano mzuri ni pamoja na kupitisha wagombea wanao kubalika maeneo mbali mbali, kama Iringa mjini ambako ndugu Mwakalebela alikatwa mwaka 2010 licha ya kushinda.

Pia CCM inatambua baadhi ya walio kihama chama wanazijua siri za chama... Mwaka huu tutegemee mipango na mikakati mipya.

Zaidi ya yote kuimalika kwa upinzani kuna maanisha CCM itajikita zaidi katika kutimiza ahadi zake kwa wananchi.

Na chini ya uongozi wa Magufuli ambaye hana makundi kama wengine , na pia ambaye hana kundi la Matajiri nyuma yake.

Magufuli atakuja kuwa rais bora Tanzania sana.
 
Sisi watanzania wenye akili timamu Tunasema "Adui yetu namba moja Tanzania ni CCM Tu" CCM Must Go..........
 
Back
Top Bottom