Hizi picha zote ni za Kigoma. Labda watakuwa wanekutikisa wewe.
Nyie mna bishana na maccm ukitaka kuamini kwann mtu aseme km ccm B act iko hv ccm yenyewe siitakuwa tishio maanaake ni ccm anajifanya yuko act kweli nmeamini act ccm B
Hizi picha zote ni za Kigoma. Labda watakuwa wanekutikisa wewe.
Mimi nawaambia nyie Vijana hamuwajui ZITTO na Kitila Mkumbo,ndo mwanzo wa mwisho wa zama za CHADEMA hizo! Wapumbavu humu wanasema eti Nyota! Nyota ?! Hao watu wanatumia akili si ushabiki wa kijinga wa vijana wa CHADEMA waliojazana humu Jf.Kwa taarifa yenu hakuna mwanasiasa anayeweza kujenga hoja kwa sasa ndani ya CHADEMA anayeweza kumkaribia ZITTO wala Mkumbo,wengi wenu ni waropokaji tu kama akina Tundu Lissu, Mnyika n.k.
Ukweli ni kwamba kwa muda mrefu CHADEMA imekuwa na siasa za matukio na matusi na si siasa za hoja! Jiulizeni ni kweli CCM imewachosha wengi hapa nchini wakiwemo wazee wetu waasisi aina ya kina Joseph Warioba lakini hata mara moja hawajawahi kuifikiria CHADEMA kama Chama mbadala wa CCM! Ni kwa nini? Wazee hawa wanajua CHADEMA ni mkusanyiko fulani unaoongozwa na remote ya familia tokea Tengeru pale kwa Mzee Mtei kwa maslahi ya Familia hiyo na si Watanzania kama wanavyowadanganya majuha wao!
Unapo ona binti wa mtu makini kama Joseph Warioba anakimbilia kuchukua kadi ACT - Wazalendo ,kwani siku zote hakuona CHADEMA ipo kama chama cha siasa! jua kuna "consultations"!
CHADEMA hacheni kuweweseka,hata wana wa Israel walipoanza safari ya kutoka Misri wengi walijua Musa ndiye atakayewafikisha Nchi ya Ahadi lakini sivyo Musa alifia Njiani! Ni akini Haruni ndo waliwafikisha Kanaani Nchi ya Ahadi!
Leo mnambeza Zitto lakini amini nawaambia Zitto Zuberi Kabwe is a very smart and intelligent politician of our time!
Wakati CHADEMA wamejifunga kwenye ndoa ya Mkeka na CUF,NCCR,NLD ndo Zitto amewasoma na kuwapa big blow!
Kwanza umoja wa UKAWA ni umoja wa mashaka hilo halina ubishi kwa mtu makini.Zitto ameweka TEGO baya kote kwa CCM na UKAWA. Watakaokosa nafasi kote they are likely to join ACT - Wazalendo than any political Party. Kwahiyo msije shangaa baada ya Uchaguzi Mkuu Zitto ndo akawa na turufu ya Kuunda kambi rasmi ya Upinzani Bungeni! Ikitokea hivyo ndo CHADEMA mtawajua CUF ni nani after all mlishawaita Chama cha Mashoga na kejeli nyingi za akina Tundu Lissu za CCM B.
Lingine Tambueni kuwa Zitto hana cha Kupoteza kwa wakati huu anajijenga kama kiongozi makini wa upinzani ajaye hapa Nchini! Baada ya Uchaguzi huu Mkuu Dr. Slaa kwenda lala,John Cheyo kwenda lala,Mrema kwenda lala,Dr. Makaidi kwenda lala,Maalim Seif na Prof.Lipumba kwenda lala! Wanabaki "ring leaders" Zitto Kabwe,James Mbatia na Mbowe! Kati yao who can be trusted ?! Ni obvious kuwa ZITTO ndo anakwenda kuwa Icon wa siasa za upinzani hapa Nchini very soon! Na mwisho kwa sasa hakuna mwanasiasa wa upinzani aliyejijenga Kimataifa na kwa taasisi za ndani kuliko ZittO Zuberi Kabwe! KAMA UNABISHA ACHA MATUSI JENGA HOJA.
Molemo accept the facts, we said mlituona wajinga......think tankers wa chadema mpaka ilipofika pale ni aina zito na prof Mkumbo. unless wewe sio frontier ndani ya chadema
Dealing with those people haikutakiwa wapayukaji kama akina Tundu Lissu, Godbless Lema na aina msigwa!! eti na za sugu!!
utaeneza chuki sana, utatumia nguvu nyingi, utatukana na kusonya, utauma meno....ila si kila unayemchukia wewe lazima achukiwe na wengine ndio siri na utashi ambao Mungu ametupa
Mbowe alitumia gharama kubwa mpaka kutunga hekaya za ajabu........ili zittto achukiwe ...lakini yako wapi?
wewe Molemo utaaandika sana habari za chuki; ila muda utakuonea aibu na kukutupa, uakimbia jukwaa
ukichukua siasa ni kama football game na timu yako imshindwa the best way ni kuangalia mmekosea wapi
Zitto kazaliwa 76 tu , ni mdogo mno na ana miaka mingi ya kuishi.....atasumbua tu, hata kama mtatumia gharama zote kumzimisha, ila ataamka tu
WIMBO WA MSALITI haulipi tena
Ninatamani sana, mbowe aseme....'zitto alienda kutoa siri hii na hii na hii kwa serikali, na CDM ikaathirika hivi na hivin na hivi'' hili hamuwezi kulisema wala kupima...............hatimaye kiasili wimbo wa usaliti unaanza kuchuja
November ACT itakuwa na wabunge wengi ( andika mahali) tena wengi kuliko chadema, kuliko nccr, kuliko cuf, etc.,ACT kitakuwa chama kikuu ch upinzani; chadema by then kitakufa tu...'maana hamna namna nyingine ya kukiokoa' kitakufa tu!
kwa nn? hamna mawazo mapya, hamna uongozi mpya, ni watu walewale, mawazo yale yale, wanafanya vile vile na kutegemea results tofauti???
Hivi kwa nini hata mara moja tukawa wakweli wa nafsi zetu kuwa Zitto alizushiwa yale kwa sababu ya mauongozi ndani ya chadema?
Hivi Lissu anajenga chama kweli??
Wimbo eti ni tawi la CCM....ni wa kujifariji tu..utachuja nao, andaa Lyrics za wimbo mwingine; utakosa utakaa kimya
Msaliti na Kibaraka wa CCM
Kwa sasa nyie Chadema ndio wapingaji wakuu wa ACT
Nia hasa ya ACT ni kupingana na CHADEMA wala sio kuingoa CCM
ccm wanatumia hela nyingi uisabalatisha chadema.hawataweza kwani chadema imeshajiimalisha sana.hata hao wengi wao ni wana ccm. ccm inatumia wajumbe wa nyumba kumi kuhakikisha mikutano ya wasaliti inajaza watu. ccm imechokwa hata waje na rangi gani
Najiuliza tu gharama za kugharamia ziara za hawa act zinatoka wapi
Mtaongozwa mara ngapi kwani na mapadre hujui kuwa katoliki ndio imeratibu hata uongozi uliopo madrakani sasa Kuanzia Rais mawaziri hadi BAKWATA.
CCM OYEEE
Kuna kitu kinaitwa ''Envy''
Aisee!!Watashindana lakn chadema kitawashinda.
CHADEMA walimfukuza Naibu Katibu Mkuu Zitto mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu!Badala ya kushikamana wao wanafukuzana kwa tuhuma za ki p u u zi kabisa!
ACT itampunguzia sana kura Dr Slaa