Ni matumaini yangu kuwa nyote mko poa..
Nimechaguliwa kujiunga na course ya human resource management katika chuo cha institute of social works~Dar but sijiamini kama ntatoka kupitia course hiyo..naombeni usauri wenu wadau..
Sent from my BlackBerry (aaron jeremiah)
Kulikomboa taifa dhidi ya vita ya udini ni suala linalotegemea sana hawa viongozi wa dini...NASEMA HIVI KWA SABABU UKIJARIBU KUYACHUNGUZA MAWAIDHA/MAFUNDISHO YA BAADHI YA VIONGOZI HAO,YANAPANDIKIZA CHUKI NA UHASAMA MIONGONI MWA WAFUASI WA DINI HIZO....SULUHU YA KUEPUKANA NA "ULEVI" WA DINI,IPO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.