theexalted
Member
- Dec 18, 2012
- 14
- 1
Sina update yoyote kuhusiana na hili hata vyombo vya habari navyo vimezima! Nini hatma ya huyu mtuhumiwa?
!!! Cna usemi kwa hilo..Nilishawah kuduu nae xana
kaambiwa akae mbali na media zaidi ya hapo atapotea ndio maana iko hivyo..