Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa
Device: Renovvo
Processor - 2.16 GHz
RAM - 4GB
EDITION - Window 10 pro
Version - 22HZ
CONDITION: Used like New
BEI : 250,000 (njoo tuongee)
0687900668 namba yangu
Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU) mwenge
Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa
Device: Renovvo
Processor - 2.16 GHz
RAM - 4GB
EDITION - Window 10 pro
Version - 22HZ
CONDITION: Used like New
BEI : 280,000 (njoo tuongee)
0687900668 namba yangu
Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU)...
JIFUNZE MBINU HII ITABADILISHA BIASHARA YAKO MAZIMA
Hata Kama umeshajiribu kila njia ya kuongeza Mauzo na umefeli...basi hiki unachoenda kukiona ndani ya sekunde 10 zijazo kitabadilisha kila kitu katika biashara yako
Ukweli ni kwamba[emoji1313]
Kuwashawishi watu Kununua bidhaa/huduma yako sio...
Habari wa jamii forum natumai mu wazima wa afya na mnapambana kutafuta kitu cha kwenda kinywani
Leo napenda niongelee kitu kimoja kwa muajiliwa anayetamani kujiajili huku akiwa kwenye ajira yake kuwa biashara yoyote iwe mpya au ya zamani ina changamoto zake especially kwenye mazingira yetu. 50%...
Habari wanandugu wa jamii forum
Leo nimeona niwakilishe biashara nayoifanya baada ya kutoka chuoni na kukosa kazi mtaani, niseme tu mapame hii sio (quick scheme) ya kuwa tajiri mapema,ama kuwa na pesa nyingi kwa mda mfupi,hii sio forex wala cryptocurrency na sijaandika kwa ajiri ya kutafuta...
Habari wana jamvi
Nilikua nadaiwa songesha na mpawa nimevunja laini sababu wamekua wasumbufu hasa mpawa na nipige tafu nilikua nadaiwa 8230
Je kuna njia nyingine watayotumia kunikamata??
Naombeni ushauri
Massive benefits of insurance provision to the society
[emoji666] Reduced variability in consumption and reduced ex ante uncertainty through insurance are benefits in themselves, but demand for insurance may be increased by certain additional benefits (Liedtke, 2007). The risk transfer function...
Job Title: Laboratory Technician (1 post)
Location: Kaliua (St John Paul Hospital)
Reports to: Facility In-charge
1. Reading, understanding, and implementing SOPs for molecular analysis of HIV drug
resistance and viral load.
2. Performing daily QC checks on all laboratory processes and...
JOBS AT MDH TABORA FOR COMMUNITY HIV TESTER
OVERVIEW
Management and Development for Health (MDH) is a non-profit, non-governmental organization whose primary aim is to contribute to address public health priorities of the people of Tanzania and the world at large. These priorities include...
Jadon Malik Sancho (born 25 March 2000) is an English professional footballer who plays as a winger for Premier League club Manchester United and the England national team. He is known for his trickery, game intelligence, pace and use of feints in one-on-one situations.[5] He came runner-up for...
Wafugaji wenzangu naombeni dawa,kuku wangu wamekua wanakohoa sana kama Harmonize ( khoo! Khooooh! Yaaaaw yaaaaaaw! Jeshiiiiiii ) na kusinzia sinzia kama mateja, naombeni dawa gani nitumie ili wapone
Thread[emoji116][emoji116][emoji116]
Serikali kupitia wizara ya Afya imejipanga kutoa kadi za kieletroniki kwa wachangiaji damu wanaojitolea mara kwa mara angalau mara tatu kwa mwaka.
Hayo yamesemwa leo Februari 25, 2022 na Waziri wa afya Mhe. Ummy Mwalimu alipokuwa katika ziara ya kutembelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.