Biashara inayonitengenezea millioni 10+ kwa wiki kwa mtaji wa laki 6

Status
Not open for further replies.

The_vision

Member
Feb 9, 2022
13
63
Habari wanandugu wa jamii forum

Leo nimeona niwakilishe biashara nayoifanya baada ya kutoka chuoni na kukosa kazi mtaani, niseme tu mapame hii sio (quick scheme) ya kuwa tajiri mapema,ama kuwa na pesa nyingi kwa mda mfupi,hii sio forex wala cryptocurrency na sijaandika kwa ajiri ya kutafuta vichwa vya kuwapiga hela hapana,lengo ni kutoa elimu kwa kile nacho kifanya na wewe unaweza kufanya ukajifunza mtandaoni hasa(udemy,YouTube nk) ukapata elimu shuka nayo

THREAD IN A NUTSHELL
Biashara hii nayo ifanya haihitaji kutumia nguvu nyingi ila inahitaji elimu kwa sababu ukifanya kwa kukurupuka utapoteza pesa zako zote

Biashara hii inafahamikakama(DROPPSHIPPING) najua wengi wanaifahamu Ila niwachache wanaoifanya sababu inahitaji moyo sana na mda mwingi wa kujifunza hii kwa kiswahili kilichozoeleka unaweza sema kua kama(Dalali/winga) wa kuuza bidhaa za watu wengine na wewe unapata faida kulingana na wateja utakaopata

PHASE 1
Kuna majukwaa mengi ambayo utajisajili kama Ali express(hii ni maarufu zaid kwa biashara hii),amazon,eBay nk ambapo utafanya uchunguzi kuona ni bidhaa gani imekua viral sana kisha utatengeneza ecom website yako ambapo utaunganisha na na jukwaa utakalotumia kuchukua bidhaa (kwa maelezo zaidi nenda google)

Jinsi ya kupata wateja,tunatumia matangazo kutangaza bidhaa hizo mfano(tiktok ads,Facebook ads,YouTube ads,google ads,Instagram ads na kupitia watu wenye followers wengi) ambapo kwa wiki upate hata watembeleaji 10M+ kwenye site ako ambapo matangazo hayo utalipia

Jinsi ya kupata faida mfano umeona bidhaa kama (light traffick) inauzwa $12 wewe utaichukua utaiuza $20 au hta $22 kisha utaitangaza hapa kuna mawili kupata wateja wasinunue au wanunue sababu matangazo utalipia

Niseme tu unaweza ukapata faida kubwa au hasara kubwa na ukafikisika kabisa na hapa nimeeleza kwa uchache sana sana kuhusu biashara hii kwa undani unaweza jifunza au ukanunua course kwenye majukwaa yanayouza hizi course

All we gonna make it
 
😁😁😁😁 Na ndiyo maana kwenye hii biashara ni lazima uwe umevuka kwenye kile kiwango cha kawaida cha tamaa!

Yaani unatakiwa uwe kama uko ndotoni vile! Yaani uote umekuwa ghafla Crazy Milionea 😁😁😁
Shida wabongo wengi hatupendi kusema ukweli... Tunataka kunufaika kuliko kuelimisha na kuelezana ukweli drop shipping sijui affiliate marketing inapesa ila sio namna hiyo nahisi mtoa mada ana ajenda yake nyuma
 
Watanzania mnaletewa fursa mnakua wajuaji
Ndio unasema una dollar 75000 wewe
Screenshot_20220429-143502.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom