Recent content by The Teacher

  1. The Teacher

    JamiiForums Tanzania KERO Responded RITA badilikeni, toeni majibu ya uhakiki wa vyeti kwa wakati

    Mimie nimemuombea mdogo wangu certificate verification toka tarehe 6/7/2024 mpaka muda huu sijapata majibu ukisoma status bado inasoma "New"
  2. The Teacher

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

    Ni Madereva bila Shaka
  3. The Teacher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wana temperature jamani!

    Mitano tena kwa Shakira.
  4. The Teacher

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Any smart TV for 350000/= ??
  5. The Teacher

    JamiiForums Tanzania Bado sikubaliani na Tecno kuuzwa laki 6

    Ebu tutake radhi ndugu yangu, nani atumie simu za wanafunzi?
  6. The Teacher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Suspended twitter account

    Account yangu ya twitter imekuwa suspended for following so many people kwa wakati mmoja. It's about a month now I'm trying to get it back with no success. What should I do?
  7. The Teacher

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya mdudu mende

    Hizo zote 11, 12 ni kifo chake tu ndio kina umaarufu, Yaani ile Mdembendembe, chalii.
  8. The Teacher

    JamiiForums Tanzania Mnaoweka matuta rough Road Acheni Rohombaya

    Wamekusikia kaka, ujumbe umefika. Pia kongore kwako kwa kumiliki gari.
  9. The Teacher

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Watanzania ni waoga kufanya manunuzi Mtandaoni?

    Is aliexpress and alibaba.com the same?
  10. The Teacher

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Watanzania ni waoga kufanya manunuzi Mtandaoni?

    Vipi kaka waweza kushare na sisi namna salama ya kuanza kufanya manunuzi online?
  11. The Teacher

    JamiiForums Tanzania Newala, Mtwara: Tani 68 za Korosho zarudishwa kwa Wakulima zikidaiwa hazina ubora

    Nasubiri kuona maandamano ya kupinga hili swala ( dah!! nimesahau kumbe yanayoruhusiwa ni maandamano ya kupongeza tu)
  12. The Teacher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jaman account yangu premierbet.tz imepigwa block halafu kuna hela ndefu mule ndani, what should I do? Nimejaribu kuwatumia email wakadai mtu atashughurikia tatizo langu but mpka muda huu kimya.
  13. The Teacher

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutumia dose ya misoprostol bleeding imekataa kukauka.

    Mara nyingi it goes up to three weeks, japo itakuwa inakata mara moja moja na kuendelea.
  14. The Teacher

    JamiiForums Tanzania Nataka kujifunza mapambano niwaoneshe...

    Acha wakuonee hivyohivyo, kwenye avatar yako umeficha sura kwa mikono..
  15. The Teacher

    JamiiForums Tanzania Picha za ajabu zilizokosa maelezo ya Kisayansi

    Si utuwekee hapa hicho kitabu Mzee Baba.
Back
Top Bottom