Recent content by The Strategist Odysseus

  1. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Chakula tunaomba ufafanuzi kuhusu cerelac za watoto

    https://www.livemint.com/companies/news/nestl-controversies-from-sugar-in-baby-food-to-maggi-ban-we-look-at-top-8-concerns-in-india-and-abroad/amp-11713417236611.html
  2. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Muangalie muda wa kuwaacha wapenzi wenu

    Akifanya hivyo na wewe muache hapo hapo usibaki nyuma.
  3. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wanaJF

    Natii sheria za nchi siwezi beba unga popote niendapo.
  4. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wanaJF

    Asante sana
  5. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi wanaJF

    Habari zenu wana JF? Nikaribisheni kwa maelekezo na miongozo muhimu. Ni mimi mgeni wenu. Asante
  6. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kukesha tukutane hapa

    Ili iweje tukikutana?
  7. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Post a word starting with the last letter of the previous word

    Engineering
  8. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Zijue kozi zinazoongoza kwa ugumu chuo kikuu

    Mbona sijaona Metaphysics na Theology au hizi kozi hazitolewe chuo kikuu?
  9. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Mrema atumia picha ya Kadinali Pengo kutafuta huruma ya kura

    Mwanzoni ilikuwa imeandikwa kardinali Pendo.
  10. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Mrema atumia picha ya Kadinali Pengo kutafuta huruma ya kura

    Mkuu heading inapotosha.
  11. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kisukuma

    Lutamula Lusana Surawetu Matumugi Gugulumusigeti Lusamulia Bhufumadilu Ng'wandu Punduka Madakomashenji Hungulima Zheze Sulaga-umbane Jisula Nteminyanda Matobhoki Jambodolo Lisomhunhima Jishoni Nkende Jitelani.
  12. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Sio kila Mhaya ana dharau

    Nashukuru unalijua hilo huku Dar es salaam kila kona utasikia watu wanasema hapo kwa wahaya.
  13. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Kanisa Katoliki Tanzania kwa kazi ya WITO

    Askofu wa kwanza wa Yerusalem alikuwa James the just.
  14. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Sio kila Mhaya ana dharau

    Ninachoshukuru kwa wahaya ni kimoja tu wamepunguza kesi za ubakaji kwa hali ya juu.
  15. The Strategist Odysseus

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Kanisa Katoliki Tanzania kwa kazi ya WITO

    Wakuu kuna kitu cha kuelewa kwa wale ambao hawana uelewa mzuri wa kanisa moja takatifu katoliki la mitume. ROMAN CATHOLIC siyo jina la kanisa bali ni wakatoliki wanaofata mfumo wa kirumi(kutumia kilatini) kuendesha ibada. roman catholic ni majawapo tu ya CATHOLIC RITES jina la kanisa ni...
Back
Top Bottom