christologus
Member
- Feb 18, 2015
- 28
- 2
Habari zenu wana JF?
Nikaribisheni kwa maelekezo na miongozo muhimu. Ni mimi mgeni wenu.
Asante
Nikaribisheni kwa maelekezo na miongozo muhimu. Ni mimi mgeni wenu.
Asante
Asante sanaKRB SANA JF...........
Natii sheria za nchi siwezi beba unga popote niendapo.Umekuja na unga wako?
Hahahaah vizuriNatii sheria za nchi siwezi beba unga popote niendapo.