Recent content by The Stranger

  1. The Stranger

    Jenista Mhangama aliwahi kuolewa?

    Mi kuna ndugu yake mmoja ni rafiki yangu, muda mrefu tu kabla ya kufariki, alishawahi kuniambia kuwa hakuwahi kuolewa, na kuwa hakuwahi kutaka kuolewa katika maisha yake kwa sababu anenjoy maisha ya kuwa hivyo, kuwa ukiolewa unabanwa banwa sana.
  2. The Stranger

    Binti wa miaka 20 ukimkuta Bikra huyo ni Wife material. Muoe. Usikubali kuoa mwanamke asiye na bikra

    Kwani bikra mnazipatia wapi wazee, nilipata binti wa 18yrs, sikutegemea, nilimkuta used vibaya mno! Hapo ndipo nilipojikatia tamaa
  3. The Stranger

    Hongereni TTCL kwa kuboresha huduma ya Internet

    Hamna kitu, unalipia lakini kila siku, mtandao unazingua( no internet access).. nahisi zilikuwa nguvu za soda tu
  4. The Stranger

    Mke mke mke 🚨🚨🚨

    Hivi kuna wanandoa wanapatikana kupitia matangazo kama haya?
  5. The Stranger

    Msiotumia pombe, mnapotezea wapi muda?

    Kwann upoteze muda mzee, wakati wengine muda tunautafuta. Ingekuwa kuna kuuziana muda, tungekuomba utuuzie wako.
  6. The Stranger

    Wanawake wenye mali acheni kuwageuza wanaume zenu sex-toy

    Hii itakuwa kenya labda.. Bongo sidhan ka kuna mambo haya
  7. The Stranger

    Maoni Yangu: Kauli hii ya Rais Samia imekaa kibabe sana! Je, ni hasira?

    Tunatamani iwe hivyo, sema tunahofia isije ikawa siasa tu za kupooza wananchi kama ilivyo kawaida ya ccm🤣
  8. The Stranger

    Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

    Tupeni code basi hizo, bikra zinapatikana wapi tuoe
  9. The Stranger

    Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

    Hii stratergy ni nzuri sana, tena sana. Na nchi itapata makusanyo ya kodi kubwa tu. Sema sasa wakifanya hivi, inabidi kodi zingine zote zifutwe kama PAYE, na kodi za wafanyabiashara wa ndani, ndio itakuwa fair.
  10. The Stranger

    I am not a Victim to R Kelly – Joycelyn Savage

    Hamnaa, akaze tuu, sometimes unaweza ukaonekana uko jela kumbe uko free, na una aman moyon, na unaweza ukaonekana uko uko free mtaani, lakin kumbe umefungwa spiritually and mentally( naongelea kuhusu hivyo vyama vyao vyenye masharti lukuki)
  11. The Stranger

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Russia Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
  12. The Stranger

    Dark days 17/03/20

    Achana nae huyo
  13. The Stranger

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kuna mtu yuko Russia, ananiambia maisha yamekuwa magumu sana huko.. anasema wanaume wengi sana wanaikimbia nchi.. itafikia muda Russia atasurrender mana atakosa wapambanaji... Watu wanajificha, chakula ni cha kutafuta kimyakimya, hali tete. Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom