Jenista Mhangama aliwahi kuolewa?

Jenista Mhangama aliwahi kuolewa?

Alifiwa na mume wake 25 years or so ago!
Mi kuna ndugu yake mmoja ni rafiki yangu, muda mrefu tu kabla ya kufariki, alishawahi kuniambia kuwa hakuwahi kuolewa, na kuwa hakuwahi kutaka kuolewa katika maisha yake kwa sababu anenjoy maisha ya kuwa hivyo, kuwa ukiolewa unabanwa banwa sana.
 
kwani mwanaume ni mmoja, si unaolewa na mwingine, why uishi bila mume?
Nani kakwambia kuwa ili uishi maisha mazuri ni lazima uwe na mume? Yaani mtu utoke kwenye abusive marriage unakimbilia tena kwenye marriage nyingine kirahisi rahisi tu?????!!!!
 
View attachment 3515665

Katika kusikiliza wasifu wa marehemu Jenista Mhagama (RIP), sikusikia jina la mumewe. Niliona watoto wake watano, nilisikia majina ya baba na mama yake. Wapi mume. Siulizi kwa uchimvi bali kutaka kuonyesha aina ya viongozi tunaoletewa bila kuruhusu kujulikana historia sahihi za maisha wala ukweli kuhusiana na maisha. yao. Si tunaambiwa viongozi ni kioo cha jamii. Je, huyu bi mkubwa alikuwa ameolewa, ameachika au hakuwahi kuolewa?
mumewe si alifariki?
 
Kumjua kiongozi wetu ni muhimu sana, TATIZO lipo kwenye mifumo yetu ya nchi na ni TATIZO kubwa mno.

Hivi Leo Kuna tetesi mkuu wetu ni mke wa kwanza je anashiriki tendo la ndoa na mumewe? Kama hapati haki hiyo hamwoni Iko shida pahala hivi mnajua madhara ya nyege kwa mtu Anae kula na kushiba nyie? Hamjawai hona mtu akibaka mbuzi au kuku?.

Nashukuru Mungu hata km simjui mumewe, walau nimejua yakuwa mama alikuwa anabanduliwa ndio maana anawatoto. Ndio maana alikuwa anang
 
Vyakula vya masela wa serikali wabunge wanawake waliowengi hawajitambuagi kazi kuzubaishwa na vitengo wahovyo gvt ......hasa wawapo kwenye kamati wakasafiri utawaonea huruma
 
Kwanini hawakulitaja hili? Maana, nijuavyo, kama mwanandoa akifariki au mtoto, bado huendelea kuwa sehemu ya familia posthumously.
Hilo jina la Mhagama ndio jina la mume wake alifariki miaka 2000. Vijana wasiku hizi tumekuwa mazezeta kabisa hata kufuatilia issues kabla ya kutoa mapovu hakuna!!
 
Mi kuna ndugu yake mmoja ni rafiki yangu, muda mrefu tu kabla ya kufariki, alishawahi kuniambia kuwa hakuwahi kuolewa, na kuwa hakuwahi kutaka kuolewa katika maisha yake kwa sababu anenjoy maisha ya kuwa hivyo, kuwa ukiolewa unabanwa banwa sana.
Wamesema atazikwa pembeni mwa kaburi la mme wake

Ova
 
Mi kuna ndugu yake mmoja ni rafiki yangu, muda mrefu tu kabla ya kufariki, alishawahi kuniambia kuwa hakuwahi kuolewa, na kuwa hakuwahi kutaka kuolewa katika maisha yake kwa sababu anenjoy maisha ya kuwa hivyo, kuwa ukiolewa unabanwa banwa sana.
Itakuwa hakutaka kuolewa baada ya mmewe kufariki dunia.
 
Back
Top Bottom