Recent content by The strain

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye Degree yake anafanya haya, kweli vyuma vimekaza

    Kwani degree ni nn
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mahesabu ya kijasusi yanakataa kwa 51% kuwa Serikali inahusika na shambulio la Lissu

    Unajuaje wamepiga mchana hadharani ili na nyie mjue si wao Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    I'm Watching Bein Sports 1 on Mobdro Mobdro — All the web’s free video streams on your Android device Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Limebuma siku nyingi Post sent using JamiiForums mobile app
  5. T

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dah ila timu yetu Imeshabadilika tamaduni yetu ya fergie imeondoka itatuchukua miaka kama liverpool kuja kurudi tusifurahi tu haya mausajili mourihno siyo kocha Post sent using JamiiForums mobile app
  6. T

    JamiiForums Tanzania Haji Manara alivyotoa chozi jana kuwalilia viongozi wake!

    Naona wewe ni mhafidhina
  7. T

    JamiiForums Tanzania Haji Manara alivyotoa chozi jana kuwalilia viongozi wake!

    Mbona unaudanganya umma wa michezo Haji Manara siyo msemaji wa simba alishafungiwa kujihusisha na masuala ya michezo
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kuwa the "GREAT THINKER". Nifanye nini?

    Njoo sisiemu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hakuna mchezaji hauzwi ni pesa tu wanatutega hao
  10. T

    JamiiForums Tanzania Swali: Maji ya bahari huenda wapi?

    mbona Rahisu sana maji ya bahari yenyewe hutokana na na vyanzo vingi kama mvua na mito ila maji ya bahari huondoka kipindi cha jua kali kwa mtindo wa mvuke na kwenda kuunda mawingu ambayo husukumwa na upepo na kwenda nchi kavu napo hunyesha tena kama mvua na kuingia kwenye vyanzo
  11. T

    JamiiForums Tanzania CRDB monthly manteinance fee from shs 1770 to 1888shs

    Kuna bank inakufa inaitwa eti ya biashara halafu kwa mwezi wanakata 3500 yani nimeikimbia mchana kweupe
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja ameiba kisanduku kilichokuwa na mabaki ya ubongo wa Mtakatifu John Bosco

    Wiki ijayo itatoka novena ya kumkamata mwizi wa ubongo
  13. T

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Je na sisi tutashinda?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kwa niliyoshuhudia usiku huu hapa chuo, da! usishindane na mtoto wa kike

    1st year wewe afupiga pulo
Back
Top Bottom