Halafu wameufanya upande wa serikali kuwa wa kiboya sana. Yaani vitengo vyote vya serikali hakuna hata mtu mmoja wa kum-challenge Proffesor?? Naikubali Money Heist ila hii season 4 ni kama wameishiwa story. Wamerudia yale yale ya season 1.Ila Gandia ndiye alieleta changamoto kidogo. Zaidi ya...
Ni series bora kwangu pia.Nimesoma na vitabu vyake.Ila mzee anaponikera ni hapo kwenye kutoa kitabu cha The Winds of Winter.Miaka inaenda na kitabu hakiishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada nzuri sana.Mfano wa hii mada niliuona kwenye Movie ya FAN ya Sharrukh Khan.Dogo mmoja alikuwa amefanana sana na alikuwa shabiki wa kutupwa wa Sharrukh Khan.Alijichanga nauli na kusafiri kwenda mjini ili akaonane na Role Model wake.Alifanikiwa kuonana na Sharrukh Khan lakini Sharrukh...
Doh!!Wanapukutika sana.739 ndani ya siku moja ni wengi mno.Hivi ni kwa nini Italy imeshindwa kabisa kudhibiti maambukizi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ugonjwa utasambaa kwa kasi ya ajabu.Labda hii natural immunity itusaidie lakini sisi wenyewe hatuna uwezo wa kuzuia gonjwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna umuhimu wa kulazimisha mahusiano na mtu.Kama ushajaribu kuonyesha nia ya ukaribu kisha akakataa basi ni bora kupotezea tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu mimi 24 ni bora kuliko Strike Back.24 ina mfululizo wa matukio ambayo inakufanya ubaki kuitazama.Strike Back imekaa kimapigano zaidi bila mfululizo mzuri wa matukio.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.