Biashara ya Muziki imekuwa ngumu sana kwa sasa and as always, biashara hii ina mbinu za kipekee kabisa. Katika wakati huu ambapo kuna mrundikano wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya, redio zimeghubikwa na rushwa na figisu, vituo vya televisheni viko bize na program nyingi tofauti tofauti, kuacha...